Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Maisha magumu yaani hata wenye majengo hawajiongeziπŸ˜ƒ
 
W We jamaa tupe picha current Asa picha za enzi za mkapa za nini?
 
WAKUNYA WANAVOFANYA HUMU NDANI 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Your browser is not able to display this video.
 
Is he the same guy mwenye aliwaamisha kwamba magufuli yuko nzima na ''anachapa kazi''while the truth was that the guy was already dead? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kucheza na akili ya mtanzania ni rahisi sana
[emoji23][emoji23][emoji23]true
 
Danganyikan, port of Mombasa handled 34m metric tonnes of cargo in 2019. Out of these, only 4m metric tonnes went to Uganda. Am using Uganda coz it's the biggest client of Mombasa port. Sasa unadhani hizo tonnes zingine zinaendapi?
 
Hizo max ni ujinga mbaya kwa ndani sijui kwanini wamechagua hizo
Duniani kote kila mtu ananunua max hata indian company at dubai expo ameweka order ya 72 max at usd 9bn. Ni ndege sahihi kwa range, payload and thrust kuliko its near rival A320 neo
 
Danganyikan, port of Mombasa handled 34m metric tonnes of cargo in 2019. Out of these, only 4m metric tonnes went to Uganda. Am using Uganda coz it's the biggest client of Mombasa port. Sasa unadhani hizo tonnes zingine zinaendapi?
Ndio swali nimekuuliza, huo mziko wa around 30m MT huwa unakwenda wapi? Kumbe population yenu ni ndogo. Pia mko na population masikini sana huko mashinani na mjini pia slums dwellers wakutosha ambao purchasing power hawana na pia sijui wata consume what type of imported merchandise in that bigger volume.

Kwenye viwanda ndio hamna kitu.. Nadhani hata Bongo ina export mizigo mingi na mikubwa kuliko Kenya. Kama Mngekuwa more industrialized kuliko wengine tungeona influx of your products kila mahali. Lakini tuna one nyie ndio mmezidiwa hadi mnazuia bidhaa za majirani kuingia kwenu ili kulinda soko la bidhaa zenu mnazotumia gharama kubwa zaidi za kiuzalishaji.
 
tutasubiri wakat wakenya wenzako wanalia twitter kila siku juu ya dar port kuchukua mizigo ya uganda na ndio mteja wenu mkubwa au nasema urongoo🀣🀣🀣🀣

mambo yamebadilika budaa niliwah kusema hapa hii sio tanzania ya 90s mukawa munajitekenya mukicheka πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

na hapo hapo ukitoa huge expansion ya dar port kuna tanga na mtwara zote ziko under huge expansion na usisahau zanzibar wanajenga another giant port

uhhehehhehe mwaka huu mutasimulia mizimu yenu 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…