Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Umeona hizi picha za chini sio edit ni live ukiangalia kwenye picha za juu nilipiga mwenyewe wakati wa usiku alafu Angalia jinsi barabara zilivyosafi, bro ..yani barabara za DSM ni safi mno hususani maeneo ambayo hakuna tafrani za watu sanaa .. DAR hakuna barabara chafu kulinganisha na huko kwenu labda ukute hiyo barabara ipo U/C au uswahilini uko kabisa ndio zipo barabara ziko na michanga, Ila hakuna barabara kubwa ambayo ni chafu.. hizo zote hapo juu ni barabara safii, siku ukija DSM nitafute nitakutembeza uzione
 
Zimerudi kazini..hazina shida tena as before..Turkish , Oman,Fly dubai wanzitumia sana...na China Aviation wamezipa approval zirudi..sema MAX hazifikk Airbus A321LR au XLR tungechukua hizo
Wangesubiri kidogo tuone zikoje, kwa pesa ya MAX wangeweza pata airbus na bombardier, kwa kuongezea kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…