Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

tanzania ina matajiri mara tatu zaidi ya matajiri wa east africa nzima πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ au na hilo unabisha au nyinyi munategemea kwenu matajiri ni wale politicians na familia ya kenyatta
Na mbona Watanzania bado ni masikini per capita kushinda Kenya? Tumewadouble kwenye per capita income.
 
Slum ya Nairobi tu haina barabara zenye hizi specifications, 90% ya streets za Dodoma Zina hizi specifications, wide lanes, signed, sideways, lights, cleaned, decongested

View attachment 2009935View attachment 2009936
Nairobi ikikaririwa na CCM ni tofauti na Nairobi kwa ground.
Hapa ni Kangemi slums. 70% ya barabara ambazo zimekatiza ndani ya slums zina cabro pavement kufikia November 2021 na bado mradi wa kueka kabro kwa kila barabara ndani ya slum unaendelea. Tembea Nairobi ujione mwenyewe.
 
Barabara za Kangemi slums ni nzuri kuliko za Dodoma cbd [emoji23][emoji23]
 
Boss, Unapost jengo moja moja kuonyesha nini? I could do that for Eldoret or Nakuru or Kisumu and would beat that Dodoma of yours by far.
πŸ˜‚πŸ˜‚ Owky tuanze na Over ten floors buildings.. amua wewe ni mji gani tunaanzanao uko kwenu nje ya NAIROBI na mombasa..
 
Hii reli imechelewa Lakini ilikuwa na sababu za halali kuchelewa haikulipuliwa kama nchi nyingine za afrika .
Kitu kina ubora kama Japan au France .
Pongezi kwa wasimamizi wazalendo

kwa maoni yangu Waturuki wapewe Lot 3 na 4 .
πŸ‘πŸΏ πŸ‘πŸΏ πŸ‘πŸΏ
 
Bro terrorism ndio iliwapea advantage
 
Wakenya wanaabudu sana wazungu ukimwambia mkenya "you look like a white man" anaweza asilale kwa furaha!!![emoji23]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nyinyi mna private city yoyote huko Lazyland?
Bro kwahyo unataka kujifanya umesahau kuhusu fumba town sindio au hujui kama Fumba town mji wenye luxurious mansions zaidi ya 500 unamilikiwa na mtanzania .? Owky umewahi kuskia kuhusu HAMIDU CITY mji unaojengwa na mtanzania muuza Chips.? πŸ‘‡. . . Tanzanians hatuchukui maeneo Ili yaje yajengwe na watu kutoka abroad, sisi tunachukua maeneo na tunawekeza wenyewe, sasa sujui Kati yenu na sisi ni akina nani ni lazy..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…