Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kiongozi asiejua umhimu wa kulitumikia taifa CIO kwamba si mzalendo ila ni ujinga upumbavu na uselfish tu...
Viongozi wengi hii nchi wamekulia familia za
Kishua sana Hawajui shida yaani wapo wapo tu
 
Thanks for the pictures, now see how Dodoma roads ni vumbi tupu.

 
Sama boy 255 Hii picha inaonyesha jinsi hamna skyscrapers au majengo marefu mahali pengi isipokuwa cbd yenu pekee. Sasa ona picha kama hii hapa ambapo hakuna skyscraper hata maja. Majengo yote ni mafupi tu kama mchwa.

Hiyo residential area, sio sehemu ya biashara, unataka hata kwenye makazi ya watu kiwe na skyscrapers .?
 
Watu wengi wa mtaani kwangu na kazini wanawish Kassimu atafaa zaidi 2025
 
Bro achana na DOM kabisa after 5 to 10 years DOM itakua inaingia top 3 list ya miji iliyojengwa, mizuri na yenye maendeleo zaidi EA, believe it or not.. kwasababu Infrastructure zinazoendelea kujengwa DOM ni nyingi mnoo me nimeonyesha chache tu ninazozijua, DOM sio ya kawaida kabisa, hiyo Kigali tutaipita mara tatu kwasababu it's a tiny town compared to DODOMA, watu wanajenga sana DOM .. fanya uje utembee bro ujionee mwenyewe, wabunge wenu walikuja mwaka juzi na wenyewe wali sanda
 
Kwani hiyo picha moja ni mimi nd`o nimeipost hapa ama ni wewe?
Ila habari unayo DOM sio ya mchezo kijana, niletee neighborhood yenye wanaishi watu wa kawaida(kama hiyo niliyopost Mimi) yndani ya Mombasa nicheke😂😂😂, au nikusaidie kupost.?
 
The fact that Kenya haipo katika hii list na Tanzania kuandikwa mara mbili, hii ni fake, lazima Kuna mkenya amefanya "editing"[emoji23][emoji23][emoji23]
 
The fact that Kenya haipo katika hii list na Tanzania kuandikwa mara mbili, hii ni fake, lazima Kuna mkenya amefanya "editing"[emoji23][emoji23][emoji23]
 

Soda we already have several towns that can beat it hands down konza ikiisha you can't compare with Dodoma inayo kengwa kijua kali konza is a modern technology city... With a full data center

😂😂😂 Jamaa unabweka tu kama mbwa kichaa, uliza uambiwe, Acha kujifanya unajua .. DODOMA GOV City ni Smart City bro, after it's accomplished hata nyaya za umeme zitakua chini ya Ardhi .. hii ni video inayoenyesha msimamizi wa mji wa serikali akieleza miundombinu itakayo patikana ndani ya DODOMA new government City 👇 . Fikra zenu zinavyowatuma wapumbavu nyinyi ni kwamba sisi hatuwezi fanya vitu Smart..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…