Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji3516][emoji3516][emoji3516][emoji3516][emoji3516][emoji3516][emoji3516][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo ni maumivu ya ukweli inamtesa, leave him alone., 😂 😂 😂 anafikiria Mombasa ni size yao., ni Dar tu ndio ya maana ni Tz.
 
Morocco haipo Morogoro Road. Acha ujuaji wa kijinga.
Huyo ni mpumbavu alafu pia ni muongo sn, eti miji yenye afadhali kenya kaweka miji yote ya Nairobi mbwa huyo, mpk ile miji yenye ma apartments machafu kule wanapoishi majolity [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana kuna shule tulitwa wazazi tukaambiwa tutoe michango, Mjambian kaanza ado ado
 
Wewe unachekesha Sana, Kati ya kiwanda cha kusindika Nyama na kiwanda cha kuunganisha magari yaliyotengenezwa nchi zingine, kipi chenye "Economic impact" kubwa kwa jamii?
 
salute kwake.. hawa ndo wamiliki wa club ya yanga baadae.. saiz wanawatongoza tu ili baadae wakubali kumilikiwa
Makosa yaliyofanywa na Simba hayawezi kujirudia Yanga, ila kama atajenga uwanja wa kisasa, kama ataendelea kufanya usajili mkubwa, why not? Sisi mashabiki furaha yetu ni kuona timu inasonga mbele.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
October 2021 Progress Video: Moro-Makutupora
Hiki kipande japo hakijaisha ila kitamu sana ukikiangalia [emoji1241][emoji736]
Mwanzoni kuna mbwa wa kikenya walikuwa wanataka waoneshwe centimeter 1 ya SGR, sasa wanashangaa wakiona drone haimalizi licha ya kukimbizwa kwa speed ya Ferrari [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ebhn kweli aiseee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uchumi wa Nairobi unazidi Dar-is-a-slum mara mbili na uongeze $4b.
$54 vs $25.

Mwanza ni kijiji cha watega samaki maana hakionekani mahali popote. View attachment 2007973
Hii ndio sababu Tanzania ni nchi Bora zaidi kuishi hapa Africa, Tanzania maendeleo na uchumi wake umesambaa nchi nzima tofauti na Kenya kila kitu ni Nairobi.

Nairobi uchumi wake ni zaidi ya 52% wa uchumi wa Kenya yote, Dar es Salaam uchumi wake ni 30% ya uchumi wa Tanzania nzima.

Note: Tanzania inaongoza Afrika katika uchumi shirikishi(Economic inclusivity), Kenya inaongoza katika Economic iequality[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…