Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa kama unemployment iko juu halafu mnakaa sehemu cramped kama kibera eneo dogo watu 2.5m iliobaki ni kudandiana tuu hakuna jingine.
Population ya Kibera ni 200,000 people. Kulingana na official data sio propaganda ya Watanzania.
 
Acha uongo,
In 1961 Kenya was 8m
Tz was 11m
Ug was 6m
You are reproducing like rats.
Sawa twende na figures zako. 1960 TZ mlikuwa na watu 3 million more than Kenya. Kama Kenya tunazaliana kama panya basi mbona hio gap imepanuka kutoka 3 million hadi 7 million? Nyie ndio mnazaliana kama mende kwenye nyumba ya watu wasiopenda kuosha sufuria ya ugali.
 
Acha uongo,
In 1961 Kenya was 8m
Tz was 11m
Ug was 6m
You are reproducing like rats.
If I look at the graph below, Kenya and Tanzania have similar population growth rates. Considering the life expectancy of Kenya is higher than Tanzania, the infant mortality of Kenya is lower than that of Tanzania and Kenya has higher immigration than Tanzania, we can only agree that Tanzania has higher birth rates. Simple statistics.

Screenshot_20211110_122858.jpg
 
Sawa twende na figures zako. 1960 TZ mlikuwa na watu 3 million more than Kenya. Kama Kenya tunazaliana kama panya basi mbona hio gap imepanuka kutoka 3 million hadi 7 million?

If you know mathematics lazima unaelewa kuwa that time you were at 72% of our population and now you are 92% of our population, you have significantly closed the gap na njaa haiwezi waacha salama
 
Western bypass Kiambu
2-downloadfile.jpg
 
Attachments

  • Screenshot_20211110-122426.jpg
    Screenshot_20211110-122426.jpg
    59.8 KB · Views: 7
  • downloadfile.jpg
    downloadfile.jpg
    74.2 KB · Views: 7
  • 1-downloadfile.jpg
    1-downloadfile.jpg
    67.7 KB · Views: 11
If you know mathematics lazima unaelewa kuwa that time you were at 72% of our population and now you are 92% of our population, you have significantly closed the gap na njaa haiwezi waacha salama
Hahaha umeamua kuenda kwenye percentages? Ni sawa umeshinda.
 
Ujenzi kukamilika na mradi kutengeneza faida ni vitu viwili tofauti. SGR ya Kenya imekamilika. Sasa Lamu port pia imekamilika kama unavyoona kwenye picha niliyopost. Mambo ya faida hio tutazungumza baadaye cranes na vifaa vikishawasili.
Hahahaha, unachekesha Sana, lengo la SGR ilikua ni kufika Malaba ili Uganda na Rwanda waunganishe na kutukmia bandari za Kenya, Je imefika Malaba?

Lengo la Lamu port ni kujenga gates 13, hadi Sasa gates zilizojengwa hazizidi 3, mlihitaji $5B kukamilisha ujenzi wa gates zote 13, pesa iliyopatikana hadi Sasa ni $500M pekee.
 
Middle income , it is LMIC, same as Zimbabwe na Tz tu, ama hauna taarifa?.., vile CCM ilidanganya dunia eti Tz is now a middle income country, they don't mention the word "Lower"., you are even dumber and clueless than I thought.,
Kwahiyo Kenya na nchi zote hapa Africa ni fukara kwasababu zote ni Lower Middle Income Countries. Hivi unajua ni kuanzia kiasi gani per Capita income ndio nchi inaingia katika upper middle income category?. Tatizo la ninyi wakenya hamna akili.
 
Acha uongo,
In 1961 Kenya was 8m
Tz was 11m
Ug was 6m
You are reproducing like rats.
Tanzania by now ingekua imeongeza gap lakini watoto wengi wanakufa TZ kuliko Kenya. Tanzania's birthrate is higher than Kenya's na unasema tunazaa kama panya. Shida ya Tanzania numbers zenu haziongezeki kiasi kubwa ju bado infant mortality rate iko juu. Watato wengi wachanga wanakufa Tanzania kuliko Kenya.
Ukitaka kudestroy any argument na bongolala just point out facts uone akijibu upuzi au atoroke.

Screenshot_20211110-132223.png

Screenshot_20211110-132202.png

Screenshot_20211110-133100.png

Screenshot_20211110-133126.png
 
Currently Tanzania ndio mapanya, mkona higher birthrate hata kushinda Kenya na Ethiopia. Shida ni eti bado watoto wengi wanakufa Tanzania kama mende. Munazalisha mukiuwa idadi kubwa at the same time.
 
Tanzania by now ingekua imeongeza gap lakini watoto wengi wanakufa TZ kuliko Kenya. Tanzania's birthrate is higher than Kenya's na unasema tunazaa kama panya. Shida ya Tanzania numbers zenu haziongezeki kiasi kubwa ju bado infant mortality rate iko juu. Watato wengi wachanga wanakufa Tanzania kuliko Kenya.
Ukitaka kudestroy any argument na bongolala just point out facts uone akijibu upuzi au atoroke.

View attachment 2005524

View attachment 2005526

View attachment 2005533

View attachment 2005534
Kama kawaida yenu ya kutumia matako kufikiria badala ya kutumia ubongo, chukua "birthrates za Kenya na Tanzania na uangalie kiasi gani populations za Tanzania na Kenya zingekuwa Leo Kama kusingekuwepo infants mortality rates" then ulinganishe na population za Sasa hivi, funga mdomo wako.

Actually wakenya mnazaana Sana mkulinganisha na Tanzania"in relation to the available land mass per human requirements".
 
We already had almost the same population before independence so point yako ya land mass remains invalid. Current birthrate ya Tanzania is higher than Kenya and Ethiopia. Lakini ikifika kwa infant mortality rate munaongoza pia. 😂😂😂munazalisha kama panya ju ya umaskini na kuua kama mende ju ya under development.

Screenshot_20211110-141254.png

Screenshot_20211110-141309.png
 
so sometimes google is your friend when it fits/favors your guts, but it’s not when it is against you
There is a bold line between Google; which is a search engine and facts; something that is known and proved to be true. You should know the difference.
 
sijaidharau Tz wala Zambia, I said what it is, somebody was claiming eti Zambia ni middle income, infact it is there coz of small population..,., na pia kwa hiyo Lower mido income kuna levels., nyie mko kwa mlango wa kuingilia, mkiteleza kidogo mnaanguka LDC., check the numbers sio tu the bracket.,.
Uchumi ulislow down sababu tu ya covid saiv tunaenda vyema...haturudi nyuma
 
Back
Top Bottom