Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Daresalaam is a slum city in its entirety. ..these cover up sprucing they are pretending to be doing isnt helping them at all....ni kama kuziba punctured tyre na bandage......Work harder maybe mtatukaribia
Lakin cha ajabu dunia inaitambua nairobi as a biggest center of slums in the world😀😀😀
Hapo hushangai tu
 
hey colllo,I have an idea, let's establish a blood relationship with you an us.
we give you this tanzanian chick kipapi to be your wife.pls accept our request.we have chosen you to be our Kenyan in-law. kipapi nimekupigia chapuo kwa boyfriend wa kikenya collo.atakufaa sana kuanzisha familia.
pls mcheki pm halafu teletee mrejesho.

unapenda kukashifu watanzania wenzako wanaowaambia ukweli.
..nyinyi ni ushabiki wa kijinga wa kuendeleza tu thread ndio mnafanya
 
binti,
tunajua umekuja kwenye hii thread kutafuta boyfriend wa kikenya.

haina shida,tutakukabidhi kwa kijana jobless wa kikenya anayeitwa collomzii muende mkaanzishe familia pamoja.
Ika huyo bibie kaja kwa fujo , achukukiwe tu aende kibera akaanze maisha mapya

spensa_e
 
Anza kuweka picha feelings waachie hata pepsi 😀😀😀
tumblr_nn0rsieSXt1r01buxo1_1280.jpg
 
unapenda kukashifu watanzania wenzako wanaowaambia ukweli.
..nyinyi ni ushabiki wa kijinga wa kuendeleza tu thread ndio mnafanya
wewe utafurahi aje mkenya na aanze kusifu tz?.

sikiza buda,kama unampenda sana huyo manzi wa kitz kipapi mchukue awe mkeo.BTW she came here to look for a Kenyan BF.
 
Bongo majengo marefu lakini miundombinu mibovu majengo yapo shagharabaghara..... Mji haupendezi kwa majengo marefu Bali ni miundombinu dhabiti zikiwemo barabara za kutosha na zenye ukubwa, mitaro ya majitaka n.k... Bongo mvua ikinyesha ni aibu barabara hazipitiki kwa maji.
Aibu nyingine ni kwamba sio tu Bongo bali nchi nzima ya Tanzania hakuna flyover yaani ndio kwanza tumeanza

Sent using Jamii Forums mobile app
Binti umepatiwa bwana wa kikenya mkaanze maisha mapya kibera , ila Google the place kabla ujaenda ,na uwe unaweza kuishi kwenye nyumba ya mmbwa na mbwa atakuwa anaishi nje

spensa_e
 
Back
Top Bottom