Sijui Jangwani ni wapi, but Nairobi CBD has 2 sides separated by Moi avenue. Just like all or most cities in the world, That is what we call Downtown. Thing is it is still more ordely than any part of Dar.
Hizo picha zao huwawanazipiga kwa baadhi ya angle tu ilikuficha baadhi ya vituMhhh, That place looks like magomeni.

Nyinyi zenu hupiga kwa angle zipiHizo picha zao huwawanazipiga kwa baadhi ya angle tu ilikuficha baadhi ya vitu![]()
![]()
Kama majengo haya ni kweli yapo Nairobi (kenya) basi acha nisiwe mzalendo kwakweli mmeifunika Dar es Salaam. Ingawa mimi ni Mtz ila majengo haya hapana chezea Wakenya mmetishaNairobi city! The jewel and pride of Africa
![]()
![]()
![]()
![]()
Leo mmoja wenu kajichanganya ameiwekaNyinyi zenu hupiga kwa angle zipi
,bado ile ambayo kibera inaonekana nyuma ya kicc muiweke piaKuna picha mtu alipost hapa karibu na jengo la nation media, ni aibu. Yaani alitufumbua macho sana.Leo mmoja wenu kajichanganya ameiweka![]()
![]()
,bado ile ambayo kibera inaonekana nyuma ya kicc muiweke pia
hakuna mtz anayeandika kiswahili chenye matege kama hiki chako.Ingawa mimi ni Mtz ila majengo haya hapana chezea Wakenya mmetisha
Ukweli unauma.... Ila acha tu sindano ikuingiehakuna mtz anayeandika kiswahili chenye matege kama hiki chako.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
wakiweka zile aerial view photo shop zao kwa asiye ijua nairobi utajua ni bonge la city kumbe hamna kitu....Kumbe nyuma ya hili jengo kuna uchafu huu loh!! Kunazidiwa hadi na magomeni![]()
