President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,647
- 94,285
Level 4 ndio kitu gani mwangu!?Utaumia sana my friend. Sisi tuna vifaa na medics. Tangu tuanze jana hakuna hata bongolala mmoja amepost vifaa kwa regional hospital zenu.
Ona hapa vile hadi level 4 zetu zinachapa kazi ya kishua.
Tumia hizo numbers umeandika utaelewa. It's the same arrangement in Kenya too.Level 4 ndio kitu gani mwangu!?
Sisi hapa masuala hayo hatuyatumii.
Sisi tuna:-
1. Zahanati
2. Kitu cha afya
3. Hospitali ya Wilaya
4. Hospitali ya Mkoa
5. Hospitali ya kanda
6. Hospitali ya Taifa.
Usipende kukariri.
Wewe leta maana ya level usitake tuanze kuzungushana. Level 4 maana yake ni nini!?Tumia hizo numbers umeandika utaelewa. It's the same arrangement in Kenya too.
Sub-County HospitalWewe leta maana ya level usitake tuanze kuzungushana. Level 4 maana yake ni nini!?
Unapiga kelele sana.Tumia hizo numbers umeandika utaelewa. It's the same arrangement in Kenya too.
What do you mean!?Sub-County Hospital
Sisi wanasaikology tumefafanua sentensi tumepata jibu kwamba unasumbuliwa na kitu kinachoitwa inferiority complex, na hii ni kwa Wakenya wote, mnajua kabisa kwamba tumejenga hospitali za kiwango nchi nzima, na mnajua kinachofuata ni kuzi equipe all hospitals with modern facilities, sasa mmebaki kuongea maneno ya kujifariji baada ya kugundua tumewapiga gape.Narudia kwa mara ya mwisho to all danganyikans all our county hospitals are equipped. [emoji16][emoji16][emoji23] We not only only post hospital buildings, tunawaonyesha how the facilities are well equipped. Hospitali ni vifaa plus skilled personnel.
Aliitisha Garissa County Hospital, sasa ametoroka after kupigwa na facts. We don't bark, we bite.
Pole basi, sikujua we ni slow learner.What do you mean!?
Jaribu basi kuwa na exposure. Don't think every country in the world uses the word COUNTY
Go to school
Huna exposure mwanangu.Pole basi, sikujua we ni slow learner.
Ni vizuri umekua wazi, bado hamna equipments. Mungesema tu hivyo mapema badala ya kutusumbua hapa.Sisi wanasaikology tumefafanua sentensi tumepata jibu kwamba unasumbuliwa na kitu kinachoitwa inferiority complex, na hii ni kwa Wakenya wote, mnajua kabisa kwamba tumejenga hospitali za kiwango nchi nzima, na mnajua kinachofuata ni kuzi equipe all hospitals with modern facilities, sasa mmebaki kuongea maneno ya kujifariji baada ya kugundua tumewapiga gape.
hata hauelewiYani hamuani km hku mpka turkana hospitali zimejaa vifaa vya kibingwa kabisa[emoji1787][emoji1787]
Kwahiyo mtu kuwa popular World wide mpk nimtafute kwenye comments [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwenzako yupo na marais ulaya hko we endelea kumsimanga hapo gongo la mboto[emoji1787][emoji1787]
Alafu best athlete of the year hayo sio maajabu, yani jamaa anapendwa kote kote ukitaka kujua nenda kw comments za video zake au post
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Mzee mbona wajidanganya mwenyewe tu. Huenda ujinga wako ndio sababu.
Hebu check Hospital yenyewe
View attachment 1998537View attachment 1998538
Mukinunua equipments tutafanya comparison, hospitali ni vifaa na wafanyikazi.Huna exposure mwanangu.
Nimekupatia Hospital ya Manyara.
Leta jibu hapo🤣🤣🤣💊💉💉💉
250 km/hr vs 80km/hr cjui tunashindana nini hapa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]250km per hour [emoji120][emoji120][emoji120] go tanzania
2. Simiyu Reginal HospitalMukinunua equipments tutafanya comparison, hospitali ni vifaa na wafanyikazi.
usipoteze mda,unajisumbua kujifurahisha for nothingBongolala hata hawajielewi, mtu alidhani tunafanya surgery ya kufunga kidonda sahii wameanza kushift goal posts, tunataka kuona vifaa vyenu kwanza.
Mama Ngina ndio alikuambia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na mbona Magufuli, raia number one wa danganyika aliletwa Nairobi Hospital?