Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sisi wamewekeza nyie kwenu flyover la grant[emoji1787][emoji1787]
 
Acha kunyweshwa propaganda wewe, yaani Russia (USSR) iliyotengeneza Mir-2 (zao la ISS ya leo) isiwe developed? Kwa hiyo unataka kusema Ireland iko developed kuliko China, nchi inayoweza kuilisha Europe yote na America na kubakisha, acha ujinga wewe.
Unajua maana ya developed wewe ama uko hapa kujikweza tu
 
I'm amazed by their sheer level of stupidity I swear
 
Kenya ukitoa Nairobi na kidogo Mombasa hakuna hospitali km hii, na hawatopata labda miaka 150 ijayo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Vifaa mnasubiria IMF Sio[emoji1787][emoji1787]
Gofu hilo
 
Mumenunua vifaa au bado munangoja donations kutoka Saudi Arabia tena. Wadau wa omba omba.
Jamaa wanafikiria hospitali ni majengo makubwa[emoji1787][emoji1787]
Mwenda zake ndio aliwatenda walai, yani kajenga magofu karibia mikoa yote alagu akafa
 
Hapo bado hawakuelewa najua, kuelimisha midanganyika ni kazi ngumu sana, wenye wameelewa ni wachache mno.., pengine ungetumia picha na kiswahili😂 😂 😂 😂
 
Ety 3000 open surgeries per year. Kwani unadhani ugonjwa wa moyo ni kama homa. 😂😂😂ujinga yenu hunifurahisha walai. Anyway Open Heart surgeries zimekua zikifanywa kwa hospitals in all our major cities. Nashangaa hio ni kitu inawashtua na tuko 2021. Some of our level 5 facilities kwa counties zinafanya hadi brain surgeries and laparoscopic surgeries.
Bado hamna a public hospital entirely dedicated for kids.
 
Do you understand the Word " International radiologist?", Hayak Kenya hayuko, Sina uhakika Kama hata Egypt watakuwepo, that is not commonly available in Africa.
Anaintwa Interventional Radiologist, Kenya tayari wako kadhaa. Bongo hakuna bado munafanya training mupate wenu wa kwanza. 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…