Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kila wakiweka chao kinafunikwa mbaya na cha kwetu, watabadilika sasa hivi waseme ile waliyoweka ni ya zamani ila mpya inapatikana times tower [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ni kubwa hivyo, haiwezi toshea kwa picha kama yenu unless upige picha na fisheyelens.


Jamaa ako shocked haamini haitoshei kwa picha ya front view, anadhani ni ndogo kama hio showroom yao moja nchi mzima.
Nyie jirani heb acheni kuzirusha akili zenyu πŸ˜‚πŸ˜‚, kwahyo TOYOTA ACADEMY haiwez toshea kwenye picha moja sio.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ While NAIROBI CBDs zote zinatoshea kwa picha moja πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nissan Kenya showroom, kitu nissan wanauza bongo ni spareparts tu.
 
Maisha ni rahisi kw sababu uchumi wenu wenyewe mwepesi alafu nchi imejaa wakulima na wazembe..
Tukija masuala ya hustling na mambo ya vipato kw upande wa hzi nchi mbili, utakuta kenya ipo mbali sana kw sababu hku hela inatembea sana kona zote..
Inatembea sn mbn mna shida mob [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Looks like police headquarters in Nairobi or Zetec College along Thika road.., dwarf office block πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ .,
Hizo sio shida zangu.. ni wewe sasa utakaeamua ni police station au college.. umeumia.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, Hiyo si sawa na ile lodge ati ni state house πŸ˜‚πŸ˜‚, zinalendana ukubwa
 
Office of the president Tanzania.., a high school administration block πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

Vs Office of the governor, Nairobi
Antique with appearance of status and class..,




ata ya Vice president is old but classy, commands authority...,
 
Hizo sio shida zangu.. ni wewe sasa utakaeamua ni police station au college.. umeumia.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, Hiyo si sawa na ile lodge ati ni state house πŸ˜‚πŸ˜‚, zinalendana ukubwa
State house yenyu ni mosque afadhali lodge., πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Nimewaambia hamtengenezi hizo milk ATMs. Munanunua zile ready made kutoka Kenya. Mukaanza kulia sijui mlianza kutumia mbele, mwingine ananiuliza manufacturing ni nini. Yani bongo mzima hakuna mtu anaweza tengeneza a simple milk ATM.
Kwahiyo mlianza kutengenezea watu wa nje kabla ya nyinyi wenyewe kuanza kuzitumia, Wakenya hamna akili [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwahiyo mlianza kutengenezea watu wa nje kabla ya nyinyi wenyewe kuanza kuzitumia, Wakenya hamna akili [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Una kichaa tumekua tukitumia for a decade now, ebu nionyeshe kampuni bongo ina manufacture hizo milk ATM.
 
Unajichanganya sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ona sasa πŸ‘‡kenya governor'svs the so called state houseπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ umeona vile inavyokua.? majengo yote mawili mmerithi kwa mkoloni kwahiyo mkashindwa kuchagua jengo lipi lenye hadhi liwe ikulu na lipi liwe governor's office.. ka ikulu kama lodge bhana
 
Makunya yalivyo na roho mbaya na wivu hakuna hata likunya moja lime like this internationally standard infrastructure [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe wacha zako, hii nili tii kitambo na nikawapa pongezi, wivu, chuki na roho mbaya ni defination ya mitanzania kwa wingi..,
Hii bridge ni kali walai πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯., but not like your ugly sgr stations.., maybe inside, but this one, cool.
 
Sina habari. Thanks for the info
Kwahiyo wewe mpuuzi unaishi hapo Nairobi alafu ofisi ya serikali inaungua na hujui, huu upumbavu wenu wa kukataa ofisi mbaya mbaya ni utoto mkuu, kubalini hali yenu na msifosi tufanane [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…