Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Scania wameamua hawatoki kenya...
1635780267745.png

234833493_4093615824082102_4320944558786683681_n.jpg

234894323_4093593654084319_9185878538997818821_n.jpg
 
Nyie jirani heb acheni kuzirusha akili zenyu 😂😂, kwahyo TOYOTA ACADEMY haiwez toshea kwenye picha moja sio.? 😂😂😂 While NAIROBI CBDs zote zinatoshea kwa picha moja 😂😂
Wewe umeona Toyota academy ni Toyota showroom? one is along Momb asa road nyingine south C, lizembe haliwezi kudhibitisha, nilisema wivu is the middle name ya mitanzania 😂 😂 😂 😂 😂
 
Unajichanganya sana 😂😂😂 ona sasa 👇kenya governor'sView attachment 1994825View attachment 1994826vs the so called state houseView attachment 1994828😂😂😂 umeona vile inavyokua.? majengo yote mawili mmerithi kwa mkoloni kwahiyo mkashindwa kuchagua jengo lipi lenye hadhi liwe ikulu na lipi liwe governor's office.. ka ikulu kama lodge bhana
Rudishia waislamu mosque yao., an abomination!., ata makafiri wanakanyaga ndani! hii ni dhulma kwa dini., 😂 😂 😂 😂 😂 😂
2984079_1635762289633.png
 
Wewe umeona Toyota academy ni Toyota showroom? one is along Momb asa road nyingine south C, lizembe haliwezi kudhibitisha, nilisema wivu is the middle name ya mitanzania 😂 😂 😂 😂 😂
Acha upunguani kijana rudia tena post yangu usome uelewe
 
Umeona ilivyo mwehu unataka kulinganisha majengo ya biashara na ofisi za serikali.?
Tangu lini jengo la biashara likue na flag ya taifa na ya county government? umefanya utafiti kudhibitisha hii si county Assemby ya Nakuru county ama umekurupuka tu kama ilivyo kawaida ya wengi wenu humu? yaani umeshangaa unadhani ni ya biashara, hauamini macho yako! duh 😂 😂 😂 😂 😂 😂
20190821_124006.jpg
 
Acha upunguani kijana rudia tena post yangu usome uelewe
Lazima tuweke angles zote, kuelimisha mtanzania ni kazi ngumu sana, inachosha lakini tutavumilia tu ili mnyooke 😂 😂 😂 , post bila picha angles tofauti nikama mwanamke kuvaa dera na hana tako., mlisema wenyewe., 😂 😂 😂 😂 😂
 
Vipi mtoto wa watu uko poa!?🤣🤣🤣
 
Mzee hayo maziwa yapo kibera tu. Muulize mtanzania yeyote kama anajua kuhusu Brookside.
Mama Ngina anatia ujinga vichwani mwenu.

Mzee ujinga umekujaa kichwani. Go to school.
Mm nmeanza kuijua brookside humu JF kwenye huu uzi, kabla ya hapo ckuwa naijua kabisa, jamaa wanajazwa ujinga vichwani mwao na ndiyo maana wana maisha magumu mno.
 
Mm nmeanza kuijua brookside humu JF kwenye huu uzi, kabla ya hapo ckuwa naijua kabisa, jamaa wanajazwa ujinga vichwani mwao na ndiyo maana wana maisha magumu mno.
Ninawashangaa sana wanasema wanauza Tanzania sijui yanauzwa wapi. Nimetembea mikoa yote Tanzania sijawahi ona maziwa toka Kenya.
 
Tangu lini jengo la biashara likue na flag ya taifa na ya county government? umefanya utafiti kudhibitisha hii si county Assemby ya Nakuru county ama umekurupuka tu kama ilivyo kawaida ya wengi wenu humu? yaani umeshangaa unadhani ni ya biashara, hauamini macho yako! duh 😂 😂 😂 😂 😂 😂
20190821_124006.jpg
Ntakukamata tu we jisemeshe 😂😂😂.. sasa mbona county Assembly ni better than your so called state house.? Ile lodge ya wenyewe..😂😂👇
house-data.jpg
 
Hiyo co state house bali inaitwa choo cha mkoloni, yn miaka 60 ya uhuru na bado hamuwezi kujenga nyumba ya Rais, na ndiyo maana nasema Wakenya hamna akili.
You are such a child I'm amazed at your level of stupidity. Your genes shouldn't be allowed to propagate to another generation
 
Wewe wacha zako, hii nili tii kitambo na nikawapa pongezi, wivu, chuki na roho mbaya ni defination ya mitanzania kwa wingi..,
Hii bridge ni kali walai ., but not like your ugly sgr stations.., maybe inside, but this one, cool.
2983959_IMG_20211101_120944.jpg
Tumsikilize na Bwana Mapesa juu ya hii kiboko ya Afrika infrastructure

The best 007: Ebhn Bwana Mapesa unaongeleaje The Tanzanite cable stayed bridge na infrastructures zinazoizunguka kwa ujumla.

Bwana Mapesa: Ofcz this is one of the ugly infrastructures to have ever existed on planet earth, it's aesthetics at first time made my little baby scared and felt bad all the day, ofcz this is one of the poor facility as far as the best infrastructure is concerned, honestly I can compare it to machakos toilet.

Kunyans:
 
You are such a child I'm amazed at your level of stupidity. Your genes shouldn't be allowed to propagate to another generation
Sasa kwani ni uongo kwamba hamna akili? Miaka 60 mnashindwa kujenga nyumba ya Rais, mnategemea icho choo cha mkoloni chenye mashetani ya kizungu mbwa nyinyi.
 
Back
Top Bottom