Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

C kama nyie tu mnakuwa ranked mbele ya TPDF na hamjawahi shinda hata kesi ya kuku, so now mmeanza kuelewa upuuzi wa hvyo vi rank uchwara.
 
The Africa's largest University Library.

[emoji117] The University of Dar es Salaam new library.

The University of Dar es Salaam new library now holds the record of being The Largest African University Library.
Imewauma kweli kweli nilipoiweka ile picha, unajua cc Watz tuna vitu vingi sana ambavyo wenzetu vinchi vingi vya kiafrika hawana, sema tumezid kuchukulia poa mambo, hawa Mungiki wakipata kitu kimoja basi nchi nzima itakitolea macho icho icho but Tanzanians hatuko hivyo.


Kwa mfano hyo library ya UDSM ni the state of art lkn tunaichukulia kawaida mpk pale tunapoona mazoea yanazidi ndo tunaipost, km leo nilivyowafanya mpk vi library vyao wameviona taka taka[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Yaani sipati picha Mwizi athubutu kufanya hivyo hapa bongo
Aliyewaambia hao ni wezi ni nani? Mwarabu bandia anawaletea udaku hot hot kutoka Twitter. 😂😂😂 Munapenda umbea ndio kwa maana mkona kijiji kinaitwa Umbeya. Kazeni leso na sindiria kabisa.
 
We are talking about Libraries and you're showing random buildings of UDOM. You think Kenyan Universities have no buildings?
 
State of the art lakini kwa ranking hapa East Africa ndo inavuta mkia. 😂😂😂
 
Hapo bro ni pazur sana .. nikiiangalia hiz barabara alizokua akijenga magufuli najiuliz hiv huyu mama ataweza kweli au bla bla tu za mawaziri wake ndio zitatawala kama awamu ya nne.?
na event za kila mara[emoji23][emoji23]
 
Wachana Library ya University ju hata kwa University ranking hamtushindi. Tuonyeshe hio National Library yenu inakaa kiosk. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
So hii umeikubali au sio [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kama wanajiamini waende pale Google search halafu waandike "The Africa's largest University Library" kisha wascreenshot page ya kwanza halafu waje kuipost humu jamiiforums.
 
Quality ss ndo huwa hatuna mpinzani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…