Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sikia mkuu hii battle ya towers tuliwachapa kitambo hata wao wakunya wanajua na ndiyo maana nataka twende moja moja, kuna battle ya over 20 floors ipo humu na tuliwachapa kitambo sana, sasa nataka leo tuanze moja baada ya nyingine, yn wanaweka moja ikiwa na picha na maelezo yake na cc hivyo hivyo, hakuna kurudia, jamaa ni waongo sn na cjui huwa wanafanya hivyo ili iweje.
 
Only 40% of Kunyans can at least communicate in English and 68 in Kiswahili, huko ndio kukolea?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Iko ilala boma
 
Hiyo hapo ilala boma

 
Baada ya kupost hizi vitu vidogo vidogo, yani mere compounds eti recreational parks usilete sura yako mbele yangu tena, nyambaff πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ ., nilijua kwa hii kiherehere yako utajiharia., sasa ona πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ ., afadhali ungefyata uongelee mengine idiot..., Dar-Kabul-Salaam naifahamu, unidanganyi wewe.
 
Hawa Hayawani huongea muneno mingi ya kiinglish bila kufuatanga itaratibu wa vile kiinglish huitanjii[emoji23][emoji23]

Hawana wanachokijua. Kiswahili = 0 English = 0

Stupid beings.

F$%^ck Kenyans!
Nilishangaa kuona kuna sehemu viongozi wao wakizitembelea ndani ya nchi yao inawabidi waende na mkalimani! [emoji23][emoji23][emoji23]
 

Siku zote nimekuwa nikiwaambia watu popote pale kwamba tukisema JPM hakufanya mazuri yoyote kwa miaka 5 aliyokaa madarakani tutakuwa hatutumii uwezo wetu wa kufikiri vizuri, lkn pia tukisema hakufanya lisilo sawa hata moja bado tutakuwa tunajidanganya nafsi zetu. Yeye alikuwa binadamu kama binadamu mwingine yeyote. Alikuwana uhodari na udhaifu wake pia. Hivyo, kwa yale mazuri aliyofanya, tuyaenzi, lkn kwa yale mabaya aliyofanya tuyasamehe na kusahau. Na hiyo si kwa faida ya JPM, bali ni kwa faida ya anayesamehe, kwa sababu JPM hajui lolote saa hii huko kaburini mahali ambapo kila mmoja wetu anaelekea. Maana kuingia kwenye mtego wa kuweka kinyongo na kutosamehe, kunaleta mzigo na kumuelemea yule mwenye kukosa kusamehe. Kuishi na kinyongo hakuna tofauti na mtu anayeishi na magonjwa sugu kama vile bp, kisukari na magonjwa mengi ya kudumu, maana kila unapokumbuka au kumuona mtu uliye na kinyongo naye, hali yako inakuwa mbaya, unavurugika, jambo ambalo hata wale wengine wenye magonjwa sugu huwatokea. Nyakati nyingine ugonjwa wao huwasumbua. Hivyo samehe, ili kuishi maisha yasiyokuwa mzigo.
 
Wakizileta nitag niwaumbue wanichukie, Dar-Kabul-slum is my bedroom πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Mmeanza kudanganya kwamba ni wakwenu?

View attachment 1989325
Mwenyewe kapost kuwish Kenyans well wewe ulitakaje?., yeye anafanya biashara, anajua ako na mafans across wewe fukara hauna lako tulia, nenda kalilie Kiba umuulize mbona ka wish Kenya happy mashujaa day, hilo limekuuma kweli, amekukosea sana πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ ..,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…