Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 20,607
- 15,708
Hiyo ni post ya Kiba mwenyewe wewe kilaza
Hiyo ni post ya Kiba mwenyewe wewe kilaza
Wanasema wako na recreational parks ila hayana majina! Mibongo hayapendi kushindwaBaada ya kupost hizi vitu vidogo vidogo, yani mere compounds eti recreational parks usilete sura yako mbele yangu tena, nyambaff 😂 😂 😂 ., nilijua kwa hii kiherehere yako utajiharia., sasa ona 😂 😂 😂 😂 😂 😂 ., afadhali ungefyata uongelee mengine idiot..., Dar-Kabul-Salaam naifahamu, unidanganyi wewe.
Wacha niupdate basiMJ1 I think construction iliisha. Maybe they are just doing minor last minute interior finishesView attachment 1989383View attachment 1989385View attachment 1989386View attachment 1989387View attachment 1989388View attachment 1989389View attachment 1989390
Huu niuongo hapa tumepigwa kinoma kesho ntakurudia fala, umepost propaganda kibao, most of the buildings u mentioned hazifiki 20 floors
Mbona maneno mengi? 🤣 🤣 🤣 Umeweka list ya height in metres over 100m, nikakushinda na nikakuumbua maanake ulijaza gorofa 7 sisizofika 100m (Muongo). Ukabadilisha ukasema tuweke over 20 floors, nimekuwekea - hujajibu sasa unataka moja kwa moja na nikikuwekea bado jibu hutakuwa nalo maanake hujaweka hata moja.Sikia mkuu hii battle ya towers tuliwachapa kitambo hata wao wakunya wanajua na ndiyo maana nataka twende moja moja, kuna battle ya over 20 floors ipo humu na tuliwachapa kitambo sana, sasa nataka leo tuanze moja baada ya nyingine, yn wanaweka moja ikiwa na picha na maelezo yake na cc hivyo hivyo, hakuna kurudia, jamaa ni waongo sn na cjui huwa wanafanya hivyo ili iweje.
Yet all this while tunaambiwa Nairobi ni pori tu 😂😂Updated list
1. GTC Office tower - 43 floors
2. GTC Hotel - 35 floors
3. Prism Tower - 34 floors
4. UAP Tower - 33 floor
5. GTC Apartments 1 - 33 floors
6. Britam Tower - 31 floors
8. GTC Apartments 2 - 31 floors
9. GTC Apartments 3 - 31 floors
10. CBK Pension Tower 1 - 30 floors
11. GTC Apartments 4 - 29 floors
12. KICC - 28 Floors
13. Social Security House (NSSF) - 28 floors
14. Teleposta Tower - 27 floors
15. CBK Pension Tower 2 - 27 floors
16. Upper Hill Chambers - 26 floors
17. Nyayo House - 27 floors
18. Anniversary Tower - 27 floors
19. LeMac Building - 25 floors
20. 4th Ngong Avenue Tower - 23 floors
21. KCB Tower - 23 floors
22. Ambank House - 22 floors
23. Lonrho House - 22 floors
24. University of Nairobi Tower - 22 floors
25. Co-op House - 25 floors
26. Movenpick Hotel - 21 floors
27. Uchumi House - 21 floors
28. Kenya Re Tower - 21 floors
29. Delta Corner 1 - 21 floors
30. Delta Corner 2 - 21 floors
31. National Bank House - 20 floors
32. Jaffery Complex 20
33. Viewpark Tower - 20 floors
34. Kings Distinction - 20 floors
35. Parliament Tower - 25 floors
36. The Marquis A - 21 floors
37. The Marquis B - 21 floors
38. FCB Mirhab Tower - 25 floors
39. One Place Africa Tower - 20 floors
40. Times Tower 33 floors
41. Dunhill tower 20 floors
Haya Kijana Mdogo, Nairobi inazo 40 towers over 20 floors kama sijaweka zile ziko under construction. Tupee za Dar tuone sasa.
Kindly weka link ya hiyo battle nikuonyeshe kitu.., mambo ya pororjo la hasha.., weka link..,Sikia mkuu hii battle ya towers tuliwachapa kitambo hata wao wakunya wanajua na ndiyo maana nataka twende moja moja, kuna battle ya over 20 floors ipo humu na tuliwachapa kitambo sana, sasa nataka leo tuanze moja baada ya nyingine, yn wanaweka moja ikiwa na picha na maelezo yake na cc hivyo hivyo, hakuna kurudia, jamaa ni waongo sn na cjui huwa wanafanya hivyo ili iweje.
Ni inferiority complex inawasumbua., na wivu tu, hakuna lingine., masikini jeuri. 😂 😂 😂Yet all this while tunaambiwa Nairobi ni pori tu 😂😂
The reason for them saying "hakuna majengo nairobi ni pori tu" sijui ni nini, i think we should also show them aerial pictures za mitaa like kasarani,zimmer, umo, Emba, Kahawa, buru,south b south c ronga etc tuone kama wanazo😂
Msamehe, leave him alone, no answer from down south, utaletewa Kiswahili tu..,Mbona maneno mengi? 🤣 🤣 🤣 Umeweka list ya height in metres over 100m, nikakushinda na nikakuumbua maanake ulijaza gorofa 7 sisizofika 100m (Muongo). Ukabadilisha ukasema tuweke over 20 floors, nimekuwekea - hujajibu sasa unataka moja kwa moja na nikikuwekea bado jibu hutakuwa nalo maanake hujaweka hata moja.
Nadhani kama tulivyosema siku ile.kinachopatikana hakibaki mikononi mwao. (IMO)
Mfano Chukulia huduma zitakazotolewa na Developer wa CGTN towers, Serikali yao itapata labda kodi ya Jengo, PAYE za wafanyakazi na labda Utilities( Dawasco na Tanesco yao) watapiga hela Kidogo
Mkwanja mwingine wote unaenda kwa Mwenyewe.
Je hata kama kuna 10 billion imetengezwa unafikiri kiasi gani wana access nacho na kukutumia kwa mambo yao.
Fikiria makampuni mengine kibao ambayo yana sifa hizo ( Multinational) sijui Regional HQs Wanaacha hela kidogo nchini kwa huduma mbalimbali.
Halafu linganisha na Bongo katika eneo hilo hilo, Revenue kutoka TPA Tower ni ya Serikali yote hata utility companies ni za Serikali na tunalipia kwa Control number hela zote zinaenda dumbukia eneo moja ( HAZINA) na zinatumika kushughulikia mambo ya nchi Moja kwa moja.
JIONEE TOFAUTI![]()




wanaambulia kodi na mishahara tu
hata nikikupa majina hautoweza fanya kitu,haitokusaidia,tumekutajia ambazo unawezq kuziona kwa map,ukihitaji kuona nyingine tembea toka nje ya huo msitu uke dar.Kwani park lazima iwe recorded kwa map ndiyo iwe na jina? This is the responsibility of city council authorities to give names recreational parks within their boundaries. Kama hamna recreational parks kubalini yaishe. Story za sijui hapo ila hayana majina peleka vijiweni Tandale utasikizwa
Park za kw map ndio zipi hzohata nikikupa majina hautoweza fanya kitu,haitokusaidia,tumekutajia ambazo unawezq kuziona kwa map,ukihitaji kuona nyingine tembea toka nje ya huo msitu uke dar.


Habari kutoka tandalewanasifia majengo ya wageni afu wenyeji wenyewe sasa ni maskini wa kutupwa.. wengine wanaiba hadi mabati ya construction sites
Yale majengo kwn yamejengewa showwanasifia majengo ya wageni afu wenyeji wenyewe sasa ni maskini wa kutupwa.. wengine wanaiba hadi mabati ya construction sites


Km usonjoni arusha ndani ndabi hko jamaa wanapiga kilugha hatariNilishangaa kuona kuna sehemu viongozi wao wakizitembelea ndani ya nchi yao inawabidi waende na mkalimani!![]()


za jerusalemPark za kw map ndio zipi hzo![]()
Ikiwa tandale kw tumbo inaonekana kwenye map itakuja recreational parks etiieeeza jerusalem

