Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Rwanda hawana hata km 0 ya reli.. hii taarifa ni ya uwongo sana
@Tony254 njoo huku muone jinsi mnavyopika taarifa, hii ndio sababu mnajilinganisha na Tanzania, kamwe Kenya haifikii Tanzania katika barabara, umeme, na rail network, ninyi ni watu wa kudanganya siku zote [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
That is "tribalism" go and check the definition of "tribalism". Kenya is one among countries affected heavily by tribalism, I expect almost all Kenya know what tribalism is, what are the key indicators of tribalism and it's characteristics.
 
Hahahaha, Kuna nchi yenye ujinga Kama Kenya katika ukanda huu?, Ninyi mnagombana na majirani wenu wote, taja ni nchi gani ambayo hamkorofishani nayo Kati ya majirani wenu.
 
we hujatembea,
kwa hapa tz kwa kwa upande wa raia hakuna mtu mwenye time ya roho mbaya kwa mkenya usijidanganye hata siku moja,
hili jukwaa lisikufanye upagawe na ukalinganisha na maisha ya uraiani
hapa tunapeana makavu tu,mtaani kuna maisha mengine tofauti

na in reality kitabia baina ya mtanzania na mkenya ni tofauti na kwa upande wa ukarimu na busara Tanzania ndiyo mahala pake ,wakenya mpo na tabia mbovu
 
but human is to error!.. hii kidogo nadhani ni mpiga chapa kakosea, kurudia data zakikenya mle rwanda. ila ingine yote ni accurate. that, am rest assured! tunaweza bet. nipe mmda kiasi nifanye upekuzi zaidi google
Kenya's rail network hafikii hata 25% ya Tanzania.actually Tanzania's railway network is double that of Kenya + Ethiopia + Uganda all combined together, unabisha tukuwekee ushahidi?
 
That is "tribalism" go and check the definition of "tribalism". Kenya is one among countries affected heavily by tribalism, I expect almost all Kenya know what tribalism is, what are the key indicators of tribalism and it's characteristics.
i know kenya there is tribalism and i havent refused thats why i said personaly i dont support it its bad but the main topic here was democracy not tribalism we have tribalism yes but also we have a very elaborate democracy
 
Kenya's rail network hafikii hata 25% ya Tanzania.actually Tanzania's railway network is double that of Kenya + Ethiopia + Uganda all combined together, unabisha tukuwekee ushahidi?
hawezi lazima atapotea,

wakenya siku zote ni watu wenye mihemko kazi yao ni kugoogle na kuutouch data pasipo kuangalia reality ya maisha yao,
na hapo ndipo wanapojidanganya
 
hawezi lazima atapotea,

wakenya siku zote ni watu wenye mihemko kazi yao ni kugoogle na kuutouch data pasipo kuangalia reality ya maisha yao,
na hapo ndipo wanapojidanganya
kenya on the ground is very far away from tanzania wacha maneno ya online where you shout the loudest wins but in reality we all know the truth and am sure deep down in your heart unajua ukweli kenya iko mbele its jut that you have to supoort your country
 
labda far ya makaratasi vinginevyo hakuna kitu special hapo ,kenya hakuna kitu chaajabu cha kushtusha Tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…