Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

This is Kenyan Primary School. We don't have in our country like this

DSCF9075_2.jpg


Reach & Outreach
Tanzanias situation is even worse
 
SPEAKING OF RESERVES, LETS SEE THE AMOUNT OF KENYAS FOREIGN RESERVES.

Foreign Exchange Reserves in Kenya increased to 11143.76 USD Million in April from 10785.80 USD Million in March of 2017. Foreign Exchange Reserves in Kenya averaged 4089.54 USD Million from 1995 until 2017, reaching an all time high of 11143.76 USD Million in April of 2017 and a record low of 853 USD Million in November of 1995.

View attachment 551150
My friend your off context. Am talking about coal reserve. 5 billion T. We can generate electricity for many years my friend.
Nakuonesha kwamba, You guys don't have source of income and reserve of asset.
We have many assets my friend. You just count much liquid asset which can save you for short time.
Your country journey is short. You don't have vision. Madeni yenu ni makubwa sana sijui mtayalipa vipi.
 
hapa haudanganywi......ila unaambiwa ukweli........hiyo GDP yenu ni ya watu wachache mabwanyenye,matajiri wanasiasa wanaomiliki ardhi ya hiyo nchi yenu ila tukija kwenye uhalisia wananchi wengi wa kenya ni maskini......kupindukia

GDP per capita inamaanisha mishahara ya watu. Chenye watu wanalipwa au kupata kila mwezi na mwaka.
 
Unajua nawapa pole sana hawa ndugu zetu
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma anakaribisha maombi kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 482 za kazi kwa waajiri mbalimbali kama ifuatavyo:

MASHARTI YA JUMLA KWA KAZI ZOTE.

i. Waombaji wote wawe ni Raia wa Tanzania.

ii. Waombaji wote waambatishe cheti cha kuzaliwa.

iii. Waombaji ambao tayari ni Watumishi wa Umma na wamejipatia sifa za kuingilia katika kada tofauti

na walizonazo, wapitishe barua zao za maombi ya nafasi za kazi kwa Waajiri wao na Waajiri wajiridhishe

ipasavyo.

iv. Nafasi ya kazi inayoombwa iandikwe katika kichwa cha habari cha barua na juu ya bahasha,

kutozingatiwa hili kutasababisha maombi ya kazi kuwa batili.

v. Waombaji waambatishe maelezo binafsi yanayojitosheleza (Detailed C.V) yenye anwani na namba za

simu za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini (referees) watatu wa kuaminika.

Waombaji waambatishe maelezo binafsi yanayojitosheleza (Detailed C.V) yenye anwani na namba za

simu za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini (referees) watatu wa kuaminika.

vi. Maombi yote yaambatane na vyeti vya taaluma, nakala za vyeti vya kidato cha nne na kidato cha sita

kwa wale waliofikia kiwango hicho na vyeti vya kuhitimu mafunzo mbalimbali kwa kuzingatia sifa za kazi

husika. Viambatanisho hivyo vibanwe sawa sawa kuondoa uwezekano wa kudondoka au kupotea.

Maelezo zaidi:
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI | Ministry of Natural Resources and Tourism
watu wa kuzurula CBD na bahasha za kaki halafu wakichoka wanaenda kuota jua viwanja vya uhuru park,wakisoma hiyo wanaweza forge hata uraia ili mradi wawe watanzania wajaribu bahati yao ya kuomba ajira LDC.
 
My friend acha ujinga. Hivi unajua thamani ya dhahabu wewe?
Tembelea hii website ujue pure gold cost 1gram ya gold = $40
$40.26/gram

View attachment 550958

kilogram moja ni sawa na gram 1000.
Calculate 1000 x $40.26= ?
Tani moja ni sawa na 1000 kilogram

Sasa piga 1000 x 1000 x 40.26 how much?
Usidhani sisi hapa tunacheza we are serious.

Scrap Gold Calculator (Live Gold Price) - GoldCalc.com

Utaweza kupata calculation per gram
huwa nasema kila siku,wakenya kinacho wabeba ni uwezo wao tu kuandika na kuzungumza kingereza japo kwa kuunga unga.

ila academic wise wengi ni vilaza.hizo hesabu ulizopiga hapo,sidhani mtu kama kolo emeelewa.
 
Hahaha even with such we arent LDC.......its true some Kenyan regions suffered neglect in The past but county governments now have their budgets

Sent using Jamii Forums mobile app
We don't have such thing in our country. Tafuta picha kama utaona hiz information
This here is school in Nairobi
_61603279_ken_201202_wfp-kibera-makinaselfhelp-danishminister-rose_ogola_00174.jpg

Makina Self-Help Primary School (Nairobi)

School in Nairobi
bernice3-1024x768.jpg
 
look bro i work at Stima Plaza for Kenya power,I am not in the last mile project department,i am in another department.so i know what I am saying. we work together, I'll see if i can get you data
jobless wewe....acha kudanganya watu.
 
huwa nasema kila siku,wakenya kinacho wabeba ni uwezo wao tu kuandika na kuzungumza kingereza japo kwa kuunga unga.

ila academic wise wengi ni vilaza.hizo hesabu ulizopiga hapo,sidhani mtu kama kolo emeelewa.
huo ndiyo ukweli..........vinginevyo hamna kitu.....wakenya ni poor for every things
 
We don't have such thing in our country. Tafuta picha kama utaona hiz information
This here is school in Nairobi
_61603279_ken_201202_wfp-kibera-makinaselfhelp-danishminister-rose_ogola_00174.jpg

Makina Self-Help Primary School (Nairobi)

School in Nairobi
bernice3-1024x768.jpg
yaani wanapopaita jiji kuu la nairobi ndiyo kuna uchafu wa aina hiyo ....!!!!! hey stupid kenyan what's a meaning of this in capital city
 
Back
Top Bottom