Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tatizo ni Raisi .....Rais goigoi huzaa serikali goigoi
 
Mlevi aliwadanganya economy yao itaenda 7.2 na sasa imf wanasema yakwao ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
Wajinga hawa ndio walisema tax ya mafuta iongezwe, sasa hio bei ya mafuta kupanda imeleta tatizo kubwa hapa Kenya.
 
Nchi ya project moja, hata wajenge nini bado panakaa ushagoo, jamaa miji yao michafu sn, no wonder the country holds various dirtiest cities [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1982342
Emu utuache kidogo nyinyi wa tz munapenda kutuonea penye tunapendaga kujitahidi uoni venye tumejipanga๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ