joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,625
Umeona alama za kuuliza ama hujaziona?Huoni anaye leta ujuaji hapa ni wewe? Wapi nimesema Tanzania haihitaji chanjo?
Kama huelewi mtu alichoandika, ni vyema ukaishia kwenye maswali kuliko kuja na assumptions za hovyo.
Nimeziona, kilicho nishangaza, ulijijibu mwenyewe kwa assumptions za hovyo.Umeona alama za kuuliza ama hujaziona?
hayo yanaitwa mabus kimbunga ukiingia humo na kukaa kwa seat unasheck sheck bila hata ya mzikiKumbe hizi canter ndio brand new bus za kubebea abiria kule nchi ya ahadi kunyaland [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1980133
Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Wacha maneno mengi, Malema alikua akipinga jinsi ANC kuanzia Mandela hadi Thabo Mbeki jinsi walivyokua wakiongoza nchi kwa kutowasaidia watu weusi tangu akiwa katika umoja wa vijana, alimpigania Zuma awe rais kwasababu Zuma alionekana kuwa karibu na weusi zaidi na kuhisi yeye angeweza kuwasaidia zaidi watu weusi, fujo zake hizo ndio zilizosababisha kufukuzwa toka ANC.Wewe nawe ni mtu wa story za vijiweni. Ila nikushauri, achaa ujuaji usio na tija.
Nikuweke tu sawa:
1. Malema alianzisha EFF kwakua alitimuliwa ANC ambapo alikua akiongoza ligi ya vijana ya ANC baada ya bifu zito na Zuma waliyempigania kushinda uenyekiti wa ANC in Mangaung na baadaye kumrecall Mbeki kuachia Urais wa South Africa.
2. Mandela hakuwa na uwezo wowote wa kuwasaidia watu weusi kiuchumi kutokana na katiba waliokuwa nayo na misimamo ya chama cha ANC.
Kwa mfano, ndani ya South Africa, kuna eneo linaitwa 'Orania' hili eneo ni wazungu tu, na hawataki kuona mtu mweusi yoyete hata Polisi mweusi kuingia huko. Na pia, wana currency yao inaitwa 'Ora', ambayo, South African Reserve Bank (SARB) wamekataa kuiendorse, wana mfumo wao wa elimu tofauti na wa South Africa, wana Redio yao na Bendera yao pia.
Orania ni kanchi ndani ya nchi, why? Kwakua inatambuliwa kikatiba kama private area.
Maswala haya yameanzia kwenye negotiations in 1980s ambapo Tanzania chini ya Nyerere ndio walikua wakiwaamuru ANC negotiators nini kiwepo na nini kisiwepo.
Ninakuwekea clip ya video hapa, umsikie Rais Thabo Mbeki akilieleza kwa ufupi hili upangaji wa makubaliano ulivyoratibiwa na Tanzania ndani ya University of South Africa (UNISA).
ukiona hivyo mambo tiyariNaona waturuki wanatafuta tenda ya lot 3 na 4 kwa nguvu zote, wamemchagua mama Samia kuwa kiongozi bora mwanamke wa mwaka katika jarida la The Muslim 500
Ulianza kwa kutumia neno "ACHA uongo", hiyo ndiyo iliyonifanya niseme punguzeni ujuaji.Nimeziona, kilicho nishangaza, ulijijibu mwenyewe kwa assumptions za hovyo.
Hii nshu za kujitia unajua kila kitu wewe na mpaka nini mwenzio anataka kusema as though we are telepathically connected, ungeacha. Itakusaidia sana.
Mimi mambo ya immunology and so forth, nasoma tu kwenye nyuzi na kwa sana. Huwezi nikuta nikiongelea kwakua sijui nae ongea nae ni nani, labda ni mtu aliye bobea kwenye taaluma hiyo.
Naishia kwenye maswali ba kusoma tu.
hata unachoongea hujui,Nyie kwenu kumejaa vipanya old fashion bchi nzima[emoji1787][emoji1787]
Yani mikoa yote alafu sura mbaya kweli
Wewe ni mropokaji na kujitia mjuaji.Wacha maneno mengi, Malema alikua akipinga jinsi ANC kuanzia Mandela hadi Thabo Mbeki jinsi walivyokua wakiongoza nchi kwa kutowasaidia watu weusi tangu akiwa katika umoja wa vijana, alimpigania Zuma awe rais kwasababu Zuma alionekana kuwa karibu na weusi zaidi na kuhisi yeye angeweza kuwasaidia zaidi watu weusi, fujo zake hizo ndio zilizosababisha kufukuzwa toka ANC.
Hadi Leo msimamo wa Malema haujabadilika ndio sababu alianzisha chama cha Economic freedom Fighters (EFF). Sera yake ni kuhakikisha watu weusi wanakabidhiwa njia zote kuu za uchumi. Hayo maneno yako mengine ni blaah blaah tupu
Acha kujifanya unaijua tz wewe maandazi,tena kwa kuongea uongo, naakati hujawahi kufika.. chuma za tanga za tanga hizo 👇.. usafiri ndani ya mjiNyie kwenu kumejaa vipanya old fashion bchi nzima[emoji1787][emoji1787]
Yani mikoa yote alafu sura mbaya kweli
Mbona jamani mnapenda hvyo vipanya sura mbaya mbaya jamani, angalia kitu hichoAcha kujifanya unaijua tz wewe maandazi,tena kwa kuongea uongo, naakati hujawahi kufika.. chuma za tanga za tanga hizo [emoji116].. usafiri ndani ya mjiView attachment 1980577View attachment 1980579
Hahaha!!umekasirikaeee..njok kuna mwenzalo ka post best of the best kutoka darhata unachoongea hujui,
endeleeeni kupanda vipanya mpaka moinde mgongo
Kwaiyo uchongaji wa vinyago mwenda zake ndiobalianza sio?We jamaa unajitambua kweli?
Kwani madini unajua yanachukua mamilion mangap ya miaka kujitengeneza ? Wakati yanaibiwa ili libichwa lako lilikuwa wapi? Leo unajifany kuona udhamani wa blackhood[emoji57]...mnafki huwa akili hanaHivi unajua huo mti wa Mpingo unachukua miaka mingapi kukomaa namna hiyo mpaka ukatwe kutengenezwa kinyago cha zawadi? Kuna umuhimu gani kuchonga kinyago tena kwa kutumia blackwood? Nadhani wewe ndo hujitambui!
Na akuna atakae pinga mapunguf ya JPM ...sababu pia alikue binadam kama wengine lakin haitakubalika kumdhalilidha kwa mapungufu wakati pia kafanya mengi bora kwa taifa ili...ni kweli hii ni nchi ya watu approcimatly 60 mil...huwezi kuendana na wote daima lazima kuna kundi utaliumiza tuuMkuu tuanze kumchambua Nelson Mandela mapungufu yake
1)Alishindwa kabisa kuwasaidia watu weusi kiuchumi
2)Baada ya kuachiwa toka Gerezani na kupata urais, aliamua kukaa karibu zaidi na wazungu na kusahau kabisa kwamba lengo la watu weusi kupinga utawala wa wazungu ni dhuluma ya kiuchumi kuliko madaraka ya kisiasa. Julius Malema aliona hilo ndio chanzo cha kuanzisha EFF.
3)Alijilimbikizia Mali nyingi yeye na ukoo wake ndani ya kipindi kifupi Sana alichokua madarakani
4) Maisha yake binafsi yaligubikwa na kashfa za kupenda kubadilisha wanawake.
Pamoja na mapungufu yote hayo, lakini Mandela anabaki kuwa miongoni mwa viongozi Bora kabisa duniani kwasababu mazuri yameyazidi mabaya yake kwa mbali Sana, vivyo hivyo Kwame Nkuruma wa Ghana.
Magufuli anayomapungufu yake, mengi ya yale unayoyataja hapa yanaukweli kabisa, ndio sababu huwa ninasoma posts zako na huwa ninacheka, lakini tukubali kwamba mazuri yake yamezidi mabaya yake kwabali Sana. Tukipanga Mambo aliyofanya kwa usahihi vs Yale aliyokosea utaona ukweli huu.
aliyekuambia kuwa hapo ni dar ni naniHahaha!!umekasirikaeee..njok kuna mwenzalo ka post best of the best kutoka dar
Mkuu kama kunakitu kimenifanya nione tumeuzwa ....nikuona tunamwajir TonyBro, mambo yote ya maendeleo yanayofanyika sasa ilishapangwa awamu ya tano. Mambo mapya ni pamoja na muvi ya utalii, kuajiriwa kwa Tony, kuondoa wamachinga na tozo. Unaweza kujionea utofauti wa kufikiri wa awamu hizi.
Apo mkuu usitake kulazimisha mambo yasio landana unawezaje kulinganisha nchi za Afrika na marekan kwenye swala la chanjo? Wakati kule zipo za kutosha km wahawajachanja ni sababu ya kutotaka uwezi linganisha na Afrika kamwe....alafu tusilazimishane kuchanja mnao ona inamana nendeni mkachanje .Kwahiyo Kenya, Rwanda na Uganda ambako wamehamasishwa na kuhamasika kuchanja Nako pia sababu ya kuwa na "low covarege rate" ni kwamba hawataki?(wenyewe wanakusikiliza[emoji23][emoji23][emoji23]).
Huu upuuzi wa kupinga chanjo alianzisha Magufuli na sanasana ni hapa Tanzania, nchi zote zinazotuzunguka watu hawana tatizo na chanjo.
Katika Mambo yaliyoshusha heshima ya Magufuli duniani ni pamoja na hili la kupinga chanjo bila kufanya utafiti wa kisayansi, tusijaribu kuambuliza mapungufu yetu kwa watu wengine.