Hata 7000 bado ni kidogo sanaWatu 700 kifariki ni kidogo?, kweli maisha ya waafrika hayana thamani, au kwasababu mabwana wakubwa wa kizungu wamekufa wengi basi unadhani ni halali watanzania 700 kufa?, Samahani ila hayo ni mawazo ya malofa kusema watu 700 ni kidogo, ni matumaini yangu wewe sio lofa ila umeteleza[emoji23][emoji23][emoji23]
Kaka wacha kuzungumza Mambo usiokuwa na uhakika nayo, chanjo za UVIKO 19 tangu zithitishwe na WHO haijazidi miezi 8, viwanda vinavyotengeneza hizi chanjo duniani kote havizidi 5, vipi unasema hivi viwanda vinauwezo wa kutosheleza dunia nzima?, Sio kweli kwamba wanarekani hawana shida ya chanjo.Sasa naona unabisha tuu bila kujua unabishia nini.
Ni hivi, US chanjo zimeanza kutolewa toka mwaka jana na kila sehemu unaweza kuchanja bure. Walmart, Walgreens, CVS pharmacy, mashuleni na vituo vyote vya afya, hivi viko kila mahali na wanatoa huduma hiyo. Yaani ushindwe mwenyewe tuu. Sababu ya baadhi yetu kutochanja mpaka sasa ni kuwa hatutaki.
Sijui kwa nchi nyingine, ila kwa US hakuna uhaba wa chanjo.
Wewe ndiye uliyeleta hoja ya chanjo kama kigezo cha Tanzania kukubaliwa, ndiyo maana nimekuonesha nchi ambazo zimechanja zaidi yetu na bado zimekataliwa. Sasa ni juu yako kutetea hoja yako.
You're a typical African, life is valueless in Africa.Hata 7000 bado ni kidogo sana
Naona waturuki wanatafuta tenda ya lot 3 na 4 kwa nguvu zote, wamemchagua mama Samia kuwa kiongozi bora mwanamke wa mwaka katika jarida la The Muslim 500
Kwahiyo Kenya, Rwanda na Uganda ambako wamehamasishwa na kuhamasika kuchanja Nako pia sababu ya kuwa na "low covarege rate" ni kwamba hawataki?(wenyewe wanakusikiliza[emoji23][emoji23][emoji23]).Sasa naona unabisha tuu bila kujua unabishia nini.
Ni hivi, US chanjo zimeanza kutolewa toka mwaka jana na kila sehemu unaweza kuchanja bure. Walmart, Walgreens, CVS pharmacy, mashuleni na vituo vyote vya afya, hivi viko kila mahali na wanatoa huduma hiyo. Yaani ushindwe mwenyewe tuu. Sababu ya baadhi yetu kutochanja mpaka sasa ni kuwa hatutaki.
Sijui kwa nchi nyingine, ila kwa US hakuna uhaba wa chanjo.
Wewe ndiye uliyeleta hoja ya chanjo kama kigezo cha Tanzania kukubaliwa, ndiyo maana nimekuonesha nchi ambazo zimechanja zaidi yetu na bado zimekataliwa. Sasa ni juu yako kutetea hoja yako.
Sasa mpunguze dharau mnaposema tunatumia Daladala old model kwaajili ya abiria, angali hizo canter mnazochongea body na kuweka mabenchi ya mbao sisi tunazitumia kwaajili ya kupakia mbolea,kubebea vifusi.... Sijawahi ku comment kwenye hili jukwaa ila baada ya kuonyesha dharau wazi wazi imebidi ni comment .... Wakunyaland shikamooni na uharo wenuVijana wengi wa kizazi kipya Dar hata hawajui kuwa "canter" huwa zinatumika kubebea abiria, hii ni kwakuwa ziliacha kutumika miaka mingi sana.
Tatizo lao wapo "slow" sanaKazi yao imesimama for sure, I will be happy wakipata lot 3 & 4
Sasa mpunguze dharau mnaposema tunatumia Daladala old model kwaajili ya abiria, angali hizo canter mnazochongea body na kuweka mabenchi ya mbao sisi tunazitumia kwaajili ya kupakia mbolea,kubebea vifusi.... Sijawahi ku comment kwenye hili jukwaa ila baada ya kuonyesha dharau wazi wazi imebidi ni comment .... Wakunyaland shikamooni na uharo wenuView attachment 1980380
Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Kwahiyo unataka kusema nini hapa?, Kwamba Tanzania hatuhotaji chanjo au?. Hao UK wenyewe ndio vinara wa kuchanjwa duniani, punguzeni ujuaji na maneno ya vijiweni lazima tusikilize na kufuata ushauri wa wataalamu wa afya(WHO na Wizara ya Afya)Acha uongo. South Africa wanatumia chanjo from day one na tulikua grouo moja kupigwa ban huko UK.
Sisi tumefunguliwa, wao je? Na idadi ya waliochanja ni kubwa mno kuliko yetu.
Kumbe nabishana na mtu asiyefahamu, wanaothibitisha chanjo kutumika US ni FDA tuu. Na chanjo ya Pfizer ilithibitishwa kutumika under EUA (emergency use authorization) Dec 11 2020, sijui hiyo miezi nane umeitoa wapi?Kaka wacha kuzungumza Mambo usiokuwa na uhakika nayo, chanjo za UVIKO 19 tangu zithitishwe na WHO haijazidi miezi 8, viwanda vinavyotengeneza hizi chanjo duniani kote havizidi 5, vipi unasema hivi viwanda vinauwezo wa kutosheleza dunia nzima?, Sio kweli kwamba wanarekani hawana shida ya chanjo
Nshakueleza, US chanjo za mRNA ziko za kumwaga, hadi kwenye masupermarket wanatoa ila watu wengi tuu wanazikaushia. Ila isiwe tabu, kwa hili sitaendelea kubishana na we, kitu ambacho ni dhahri hukijui ila unajipiga tuu kifua.Lazima nchi iweke oda ya chanjo na watakuwa wanaletewa kadri zinavyotengenezwa kiwandani. Hakuna nchi yoyote duniani kwa sasa yenye uwezo wa kutoa chanjo kwa raia wake wote ndani ya kipindi kifupi labda Kama wananchi wake hawazidi laki 3,
Sasa kuanzia December 2020 hadi Leo ni miezi mingapi?, Hizi chanjo za UVIKO tangu zimeamza kutumia "in public " haizidi miezi 8 kwasasa.Kumbe nabishana na mtu asiyefahamu, wanaothibitisha chanjo kutumika US ni FDA tuu. Na chanjo ya Pfizer ilithibitishwa kutumika under EUA (emergency use authorization) Dec 11 2020, sijui hiyo miezi nane umeitoa wapi?
Nshakueleza, US chanjo za mRNA ziko za kumwaga, hadi kwenye masupermarket wanatoa ila watu wengi tuu wanazikaushia. Ila isiwe tabu, kwa hili sitaendelea kubishana na wewe kwa kitu ambacho ni thadhri hukijui ila unajipiga tuu kifua.
Mi mbongo bana, vipi tena unantolea povu?Sasa mpunguze dharau mnaposema tunatumia Daladala old model kwaajili ya abiria, angali hizo canter mnazochongea body na kuweka mabenchi ya mbao sisi tunazitumia kwaajili ya kupakia mbolea,kubebea vifusi.... Sijawahi ku comment kwenye hili jukwaa ila baada ya kuonyesha dharau wazi wazi imebidi ni comment .... Wakunyaland shikamooni na uharo wenuView attachment 1980380
Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Tozo!Bro, mambo yote ya maendeleo yanayofanyika sasa ilishapangwa awamu ya tano. Mambo mapya ni pamoja na muvi ya utalii, kuajiriwa kwa Tony, kuondoa wamachinga na tozo. Unaweza kujionea utofauti wa kufikiri wa awamu hizi.
Kakuvamia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mi mbongo bana, vipi tena unantolea povu?
Huoni anaye leta ujuaji hapa ni wewe? Wapi nimesema Tanzania haihitaji chanjo?Kwahiyo unataka kusema nini hapa?, Kwamba Tanzania hatuhotaji chanjo au?. Hao UK wenyewe ndio vinara wa kuchanjwa duniani, punguzeni ujuaji na maneno ya vijiweni lazima tusikilize na kufuata ushauri wa wataalamu wa afya(WHO na Wizara ya Afya)
Endeleeni kuaminiKumbe kwa kusema hivyo wakenya mliusika kumuua magufuli, maana watz 90% tuna amini magufuli kauliwa wakati hakiwa nusu kaputi
Nyie kwenu kumejaa vipanya old fashion bchi nzima[emoji1787][emoji1787]endelea kuota ndoto za mfalme juha,
yaani Tz uweke old fashion ya buses utapoteza soko ndani ya sekunde na kama ukipata abiria basi ni wakikenya na kwenye seat mtajikuta mnapwaya
Sasa mbona mnasusia mechi km hampigwiWewe mbwa napigwa na nani.
Wewe nawe ni mtu wa story za vijiweni. Ila nikushauri, achaa ujuaji usio na tija.Mkuu tuanze kumchambua Nelson Mandela mapungufu yake
1)Alishindwa kabisa kuwasaidia watu weusi kiuchumi
2)Baada ya kuachiwa toka Gerezani na kupata urais, aliamua kukaa karibu zaidi na wazungu na kusahau kabisa kwamba lengo la watu weusi kupinga utawala wa wazungu ni dhuluma ya kiuchumi kuliko madaraka ya kisiasa. Julius Malema aliona hilo ndio chanzo cha kuanzisha EFF.
3)Alijilimbikizia Mali nyingi yeye na ukoo wake ndani ya kipindi kifupi Sana alichokua madarakani
4) Maisha yake binafsi yaligubikwa na kashfa za kupenda kubadilisha wanawake.
Pamoja na mapungufu yote hayo, lakini Mandela anabaki kuwa miongoni mwa viongozi Bora kabisa duniani kwasababu mazuri yameyazidi mabaya yake kwa mbali Sana, vivyo hivyo Kwame Nkuruma wa Ghana.
Magufuli anayomapungufu yake, mengi ya yale unayoyataja hapa yanaukweli kabisa, ndio sababu huwa ninasoma posts zako na huwa ninacheka, lakini tukubali kwamba mazuri yake yamezidi mabaya yake kwabali Sana. Tukipanga Mambo aliyofanya kwa usahihi vs Yale aliyokosea utaona ukweli huu.