Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Niambie kipi kibaya nilichoandika? Ukinitukana mama yako anahusika!
 
Nilijua ww ni mjinga kumbe pia ni mpumbavu, nionyeshe chato imenufaikaje kwa ujenzi wa SGR,Upanuzi wa bandari zote, ujenzi wa hospitail ya rufa mtwara?, chelezo mwanza, kuamishia makao makuu dodoma?,...kwa akili iyo mafi ya kunya unakenua tu apa km chizi wacha kutuonyesha ufalamanga wako...ww kwa kitu gani ulicho ifanyia hii nchi ili hata nafasi ya kumkosoa JPM?
 
Ila ni fikra za wengi wenu humu, unsubstantiated argument and skewed reasoning is your middle name.,
Nyinyi Wakenya ni watu wadogo sn humu ndani, hapa nipo napambana na hawa Watz malaya so nyie wakunya nimewaweka pending.
 
Kijana, mpumbavu/mafi ya kunya/chizi ni mama yako mzazi aliyekuzaa wewe mwenye mdomo mchafu! Kamfukue Magufuli umuulize miili ya Azory Gwamba na Ben Saanane ipo wapi? Yeye kafariki akazikwa wenzie hawakustahili kuzikwa?
 
Hehehehee mkuu naona umemlipua [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ila ni fikra za wengi wenu humu, unsubstantiated argument and skewed reasoning is your middle name.,
Watanzania ambao wamejaa Kenyan section ya jamii forums wanakuanga na very low IQ. Yani argument zao ni za kipuuzi tu. Jamaa anasema tu kitu bila evidence ilimradi kujaza uzi tuu. Yani sometime inabidi una log off usiambukizwe ujinga na watanzania hapa.
 
Mkenya mwenye akili timamu humu humu ni tony tu nyie wengine wote wenge mnabishanaga mpàka na ukweli unaonekana wazi kwa vi article mnavyoandikaga wenyewe sometimes, au hata kwa kulazimisha nyeupe kuwa nyeusi
 
Ile pesa mlevi aliwadanganya KRA imekusanya iko wapi🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wewe mbwa ukiona huu uzi haukufai ondoka kwenye hii platform ya watanzania.
 
Hii Jf ni ya watz co ya Wakenya, hii kenyan section iliwekwa na mTz manake co kwamba founder ni mkenya, so nyie wakunya mkiona hampendezwi nayo ondokeni, mm nataka nyie wote muondoke humu ndani tubaki pekeetu tupeane vitasa.
 
Jamaa anajua kila kitu malamamayake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyu ni mama yako wewe! Wasio na hoja huwa hivi na wengi wenu ni walewale wa kanda ilee mnamtukuza muuaji!
 
JNHPP na China wapi na wapi au ndo tushapigwa.
Hawachezagi mbali na pesa hao, walikuwepo toka mwanzo.
Na walimtukana kweli kweli.
Basi tuu ni watu kujifanya wajuaji.

Bwawa linachukua muda mrefu sana kujaa, kwanza linabidi lianze kukusanya maji umbali mrefu kabla ya ukuta wa bwawa. Halafu maji na udongo vinatakiwa vitoshane kwanza (saturated) kabla ya maji kuanza kutuama ili yaweze kusogea na kuanza kupanda ukuta wa bwawa. Hivyo Dr. alikuwa sawa kusema wataanza November kulijaza, japo kuwa bado ukuta upo chini.
 
Huyu ni mama yako wewe! Wasio na hoja huwa hivi na wengi wenu ni walewale wa kanda ilee mnamtukuza muuaji!
Mm ni mtu wa kusini nyanda za juu nimechanganya na kaskazini, sasa hiyo kanda unayosema nashindwa kukuelewa.
 
Hzo old fashioned tanzania zipo mpka leo[emoji1787][emoji1787]
Utamdanganya nani mzee, mabasi kidogo basi mnajikuta matajiri
endelea kuota ndoto za mfalme juha,

yaani Tz uweke old fashion ya buses utapoteza soko ndani ya sekunde na kama ukipata abiria basi ni wakikenya na kwenye seat mtajikuta mnapwaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…