THE BOILER ROOM
JF-Expert Member
- Sep 17, 2018
- 1,054
- 3,212
Wafaransa walishaonyesha interest ya kulikarabati jengo la TB2 toka 2014 kama sio 2015 inasemekana Hayati aliwaeleza pesa hiyo ya kukarabati ni bora watusaidie nguvu kule Dodoma!!!Wakapiga kimya!!!JNIA terminal two kufanyiwa ukarabati soon na wafaransa .... Yo wajuzi wa mambo hii imekaaje kitaalamu The best 007 Geza Ulole Simon
Wacha ujinga, Magufuli anatokea familia ya kimaskini.nakueleza si wa hali ya chini kama unavyodai!
Ujinga wa mwendazake wa kukata miti kuchonga vinyago bado unaendelea mbona wasitumie gunia la katani kuchora picha safii na kumkabidhi huyo Waziri?
sawa mwl wa Kiingereza ungekuwa wa maana unge-correct! Though not a linguistic expert, I have not seen error as far as semantics are concerned with what i have written! I stand to be corrected though!Na hii ndio English tunanangwa kila siku watu wanajua kuongea vizuri ? [emoji1787]
Naomba wasiishie kulikarabati tu walipanue pia!!piga chini baadhi ya kuta tandika vioo, structure ya ndani iwe planned upya kabisa iendane na ulimwengu wa leo!!!ATCL wapewe kipande baada ya upanuzi!!!!.Wafaransa walishaonyesha interest ya kulikarabati jengo la TB2 toka 2014 kama sio 2015 inasemekana Hayati aliwaeleza pesa hiyo ya kukarabati ni bora watusaidie nguvu kule Dodoma!!!Wakapiga kimya!!!
Hiajakubalika na wote bana, kuna maandamano na lawsuits kila sehemu. Huku waliko zitengeneza hizo mNRA , sasa wanashurutisha watu wachanje, la sivyo inabidi uache kazi. Wengi wameshaacha na tunatarajia mamilioni kuacha kazi siku zijazo.Kuikataa chanjo iliyokibalika duniani kote ni kujidhalilisha na kujiaibisha mbele za watu wenye akili. Kwa unavyofikiria wewe ni kwamba hii dunia yote watu ni wajinga isipokua hapa Tanzania tu, tena watu wenye kupinga ni wale ambao hawana mamlaka ya kisheria na kitaalamu katika eneo la tiba?
sawa mwl wa Kiingereza ungekuwa wa maana unge-correct! Though not a linguistic expert, I have not seen error as far as semantics are concerned with what i have written! I stand to be corrected though!
ohk polee nimerudia kuangalia nilichokosea sijaona tatizo! ila lugha za watu hizi unaweza kuamka ukajikuta unaandika vitu havina logical meanings!Mkuu mimi naongelea English accent ya hiyo video , hao viongozi wanvyoongea baada ya kususia kikao.
ndo alichokuwa anani-bore huyu baba anachojiskia yeye ndo final wakati wenzie walikuwa na nia ya ku-modernize T2 na kuongeza ufanisi maana Dar bado ni hub ya biashara! Imagine chuo cha Utumishi (TPSC) Tabora kilikuwa kipanuliwe, yeye kaenda kulazimisha ifunguliwe branch Chato as if kile chuo tayari kinachukua wanavyuo 50,000! Wakati alizuia ujenzi wa chuo cha kilimo cha Nyerere Butiama Musoma (Mpango wa awamu ya nne) kwa kisingizio cha UDOM kiko underutilized, a very controversial decision!Wafaransa walishaonyesha interest ya kulikarabati jengo la TB2 toka 2014 kama sio 2015 inasemekana Hayati aliwaeleza pesa hiyo ya kukarabati ni bora watusaidie nguvu kule Dodoma!!!Wakapiga kimya!!!
Hehehehee naona wamegusa nyumbani kwako [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naomba wasiishie kulikarabati tu walipanue pia!!piga chini baadhi ya kuta tandika vioo, structure ya ndani iwe planned upya kabisa iendane na ulimwengu wa leo!!!ATCL wapewe kipande baada ya upanuzi!!!!.
Sasa haya yote ungeyasema 2020 jamii ingekuelewa, ila now umechelewa.ndo alichokuwa anani-bore huyu baba anachojiskia yeye ndo final wakati wenzie walikuwa na nia ya ku-modernize T2 na kuongeza ufanisi maana Dar bado ni hub ya biashara! Imagine chuo cha Utumishi (TPSC) Tabora kilikuwa kipanuliwe, yeye kaenda kulazimisha ifunguliwe branch Chato as if kile chuo kinachukua wanavyuo 50,000! Wakati alizuia ujenzi wa chuo cha kilimo cha Nyerere Butiama Musoma (Mpango wa awamu ya nne) kwa kisingizio cha UDOM kiko underutilized, a very controversial decision!
Your legacy is always written after u r out of power when people can go through and assess and audit your decisions and after a thorough evaluation, -appraisal and -verification of your accomplishments (workdone)!Sasa haya yote ungeyasema 2020 jamii ingekuelewa, ila now umechelewa.
Nyang'au akifinywa kidogotu huwa anaachaiaOhoo after a knockout defeat by Somalia at the ICJ, Kenya has shifted focus towards Uganda, a brandnew conflict vs Uganda is brewing!
CC: Tony254
katika society ya Kiafrica wafugaji si maskini! Let this be discussed another time!Wacha ujinga, Magufuli anatokea familia ya kimaskini.
Now tujadili kuhusu machinga achaneni nae.
Nasikia kariakoo kilinuka kweli kweli.
Kata rufaa mkuuJPM hakufa kwa haki. Alikufa sababu ya kukataa kua corona inaexist ikampata kisha ikaamua. Aliletwa Nairobi hospotal lakino wapi.
Mwenyewe alisema kijana wake alipatwa na corona kumaanisha tayari virusi vya corona vilikua nyumbani kwake. Yeye mwenyewe Siku ya hukumu ndio atatwambia kwa nini alipuuza chanjo wakati wenzake museveni na Uhuru na kagame walichanjwa na wako hai as we speak.
Imekuaje tena mkuu.[emoji102]View attachment 1979965
Hii si ni JNHPP!!???[emoji102]View attachment 1979965