Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ushuhuda wa mateso kutoka kwa washirika wa Mtakatifu JPM




MY TAKE
I wish i knew this was happened during the reign of mtakatifu cum malaika

Few minutes ago, I was busy recollecting some powerful extracts from the book I was reading: The Laws Of Human Nature.

In the first chapters of this book, we examine:

1. Confirmation bias
2. Conviction bias
3. Appearance bias
4. Group bias
5. Blame bias
6. Superiority bias

"To hold an idea and convince ourselves we arrived at it rationally, we go search of evidence to support our view.

We always manage to find the evidence that confirms with what we want to believe."

This is known as confirmation bias.

Huyu Mchambuzi ni Chadema na ni mmoja ya watu waliokua wakishirikiana kwa karibu sana na Kigogo. Na since Kigogo ana bifu nao, huyu Mchambuzi katoa maongezi yao kibao inbox wakiombama taarifa.

You need a healing!
 
Wao hawajui maana ya neno "green spaces." Wanajenga kishamba sana. Halafu wanatucheka sisi kwa kutenga maeneo ya misitu ibaki hivyo ili kuleta maandhari mema. Hata New York city ina park kubwa sana inaitwa central park na hakuna ujenzi unaofanyika ndani ya hio park. The nincompoops think having green spaces in the city is a disadvantage but it is actually a good thing. Cities with green spaces are more beautiful. Furthermore green spaces act as heat sinks where they absorb the heat coming from the city thus making the city cool and hence the temperature low. Also trees produce oxygen and absorb carbon dioxide thus making the city's air fresh. Nairobi air is not clogged with pollutants like Chinese and Indian cities.
Cc Sama boy 255 Trubarg joto la jiwe
 

Kama nyinyi mngekuwa mnajua maana ya green spaces msinge kuwa mnakata miti mau forest au clear arable farming lands hili kujenga estates
 

Av been to Nairobi countless times Kaka, there was a moment I and my friends walked From westlands (Ibis hotel ) tukakatiza Nairobi University hadi Uhuru Park na tukapiga misele sana hapo cbd, it’s just less than 5kms,
Your Nairobi Town is tiny.
 

Those pictures you normally capture during rainy seasons, u and I know exactly what those places look during dry season right ?
Na vile Nairobi ina uhaba mkubwa Wa maji.
 
Upo sahihi
 
JPM alikua muuaji amabaye alifaa tu kufa. Nikiona maneno ya watu kama sabaya naendelea kushukuru universe kwa kumuondoa JPM.
 
Dar ni ndugu ya Afghanistan, Kabul yenyewe., unatarajia nini 😂 😂 😂 😂
 
Kwahiyo kumbe chanjo hazina msaada wowote.
Tena huyo kachoma mara 2 bado kovidi imempitia, chanjo ni biashara tu ya watu inasaidia kwa 18% dhidi ya covidi ndiyo maana walio chanjwa wana amrishwa kuvaa barakoa kuliko wasio chanjwa mnajua kwanini ??? Ili ionekane awapati maambukizi wapate kutudanganya kuwa chanjo imefanya kazi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] tuli tazamia kuwaona walio chanja wakijichanganya kwa wagonjwa wa covid bila ya barakoa ili tuthibitishe kama ni kweli chanjo inafanya kazi majuzi mama kakataa kutembelea maeneo yaliyo Tengwa ya wagonjwa wa kovidi licha kachanja ,
 
Huo ni mtazamo wako wangu ni tofauti kwangu mimi mikono yake ilijaa damu pia! The more unanijibu the more nakujibu!
Wewe ni jizi ,fisadi papa mafisandi ndiyo wanao mchukia magufuli utawasikia wakisema ajafanya chochote hakuna mtz asiye kuwa fisadi anaye mkashifu magufuli the great
 
Dar ni ndugu ya Afghanistan, Kabul yenyewe., unatarajia nini [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kaboul ina BRT, kaboul ina electrified SGR, kaboul ina modern Airpot, so hata Nairobi pia haina hivyo vitu so Kaboul ni Nairobi ya middle east[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
ukiniambia Azory Gwanda na Ben Sanane wako wapi basi nitamuacha kwa amani!
Kwani raisi sasa hivi ni nani ? Kwani kwa hizo akili zako za kishangazi unadhani mama sa 100 ajui hao wapo wapi???? kwanini unamuunga mkono mama wakati ajasema azory gwanda nq Ben sanane yupo wapi ,au wewe kwa hizo akili zako za kuchambia unafikili raisi ajui au awezi kujua hao jamaa walikwenda wapi ,na kama anajua je nikwanini asemi wapo wapi ,
KWANINI USIMPINGE MAMA SA100 KWA KUWA ALIKUWA NA UWEZO WA KUJUA HAYO ILA KANYAMAZA KIMYA ,sisi tunataka wewe ndiyo utujulishe hao wapo wapi maana raisi aliyopo madarakani ni upande wenu na kikwete
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…