Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

What went wrong with Kenyan Education system ?
Unashangaa kenyan education system! Juzi tuu hapa pilot anarusha ndege ya viongozi wa serikali kwa miaka kumi bila kuwa na sifa ya upilot haya mambo ya kawaida kenya kucheza na karatasi hata kwenye uchumi tumeona na usishangae siku moja pia uchumi ukiporomoka vibaya sana hilo nina uhakika nalo kabisa.
 
Unatamani lakini wapi, mbona hizi fikra zenu hovyo hivi? 😂 😂 , jaribu ku substantiate na facts., especially upande wa uchumi, economic output, ama tufanye comparison analysis sector by sector tuone ipi fake?.., uko na kende?
 
Sasa kwenye akili yako unafkiri ukisoma ndio unakua na kipato au???🤣🤣🤣🤣 kenya ndio nchi africa inayoongoza na unemployment rate of about 40% so hio elimu imesaidia nn ikiwa vijana hawana ajira

Na hao engineers ndio wale wanajenga magorofa ya matope yanayoanguka kila leo🤣🤣🤣🤣
 

Hahaha, you fool,
Mbeya Mwanza
Mbeya Arusha
Mbeya Songea
Mbeya Tabora
Mbeya Dodoma
Mbeya Dar
Mbeya Sumbawanga
kote huku ni Lami mwendo wa Mtelezo tu.

Decent buses like these can’t commute Mbeya- Tanga in poor Roads like huko Kunyaland


Your country is poor and small, you have only 10k of paved roads
 
..leo am driving in the jam while chatting with u this morning,, ndio maana nachukua mda to respond, I like your energy, ., Jam imefunguka will chit chat niki stop.., nisisababishe ajali..,
🤣🤣🤣🤣🤣 unatafuta njia yakutokea sasa
 
Unatamani lakini wapi, mbona hizi fikra zenu hovyo hivi? [emoji23] [emoji23] , jaribu ku substantiate na facts., especially upande wa uchumi, economic output, ama tufanye comparison analysis sector by sector tuone ipi fake?.., uko na kende?

Why does buildings frequently collapse only in Kenya ? Huko vyuoni Civil engineering wanafundisha nini ?
 
hawafanyi kazi za juakali za mtaa, hizo ni biashara za ma hustler na ukora the reason building collapse, wewe umeona any standard appartment iki collapse? ama ni kule mitaani ndani ndani? na hio 40% unemployment ujue haimaanishi eti ni hakuna chenye mtu hafanyi, wengi wamejiajiri na wako na njia mbadala wa kutengeneza hela, unlike your propaganda govt., TZ ingekua na employment rate kubwa na hiyo population yenu kubwa inge reflect kwa revenue ama pato la taifa, yaani kutokana na PAYE tax returns., ama wajakazi wenu ni ma maid hawalipi tax?.., propaganda weka pembeni, mko hovyo, hilii nitarudia ku type hadi basi., mko hovyo zaidi ya mnavyo jiona 😂 😂 😂
 

How do they get building permits ?
 
Zimesaidia wapi so far???🤣🤣🤣🤣 unanipa news ya septmber 10 mm nakupa ya leo ????
 
40% ni ajira hakuna kabisa kwa wakenya ndio maana mtu ku afford chakula na malazi ngumu kwann unakua mbishi na mambo yako wazi 🤣

 
Mkenya asili yake uchafu,jeuri na kiburi🙂
 
Kuna kitu kinaitwa mutura tulikula na kachumbari na msela wangu mmoja mganda aisee tuliarisha wiki nzima 🤮🤮🤮🤮🤮🤮🤮🤮
 
BRT na vi bus vichache visifanye ujifanye hauijui Tanzania wewe 😂 😂 😂 😂 😂 wacha propaganda nani.., kuna matako pia licha ya wewe kuweka uso wa dar unajaribu kulinganisha na matako ya Kenya, weka uso vs uso ama matako vs matako..,
Sio kila sehemu ya Tz iko na buses and organized transport., na umeweka picha za zamani za Nairobi machakos country bus, it doesn't look like that today na mabasi mengine hapo left the game kitambo, hazipo tena 😂 😂
Tanzania kwa uhalisia..,








 
Hii hapa bweri bus stand musoma,sema picha sio quality nzuri Ila mabasi ya kwenda mwanza,tabora, DSM, Arusha etc etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…