The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 99,002
Ndiyo uweke hapa hiyo sheria inayosema ni marufuku miradi ya maendeleo kupelekwa baadhi ya miji Tanzania, pia usisahau kuonesha jinsi gani Chato ilipendelewa kuliko miji yote Tanzania.sheria miji zipo zinazobainisha hospitali level ipi inapaswa kuwa mijini na vijijini! Pitia miongozo ya TAMISEMI!
ingia website ya TAMISEMI wame-clasify vigezo vya miji na majiji na mipango miji pia!Ndiyo uweke hapa hiyo sheria inayosema ni marufuku miradi ya maendeleo kupelekwa baadhi ya miji Tanzania, pia usisahau kuonesha jinsi gani Chato ilipendelewa kuliko miji yote Tanzania.
Shukran sana mkuu, Kwahiyo kabla ya kuangalia hii video unanihakikishia kabisa humu nitaona jinsi katiba inapiga marufuku baadhi ya miji Tanzania kupewa miradi ya maendeleo na pia video inaonesha jinsi gani Chato ilipendelewa kuliko miji yote Tanzania c ndio mkuu.ingia website ya TAMISEMI wame-clasify vigezo vya miji na majiji na mipango miji pia!
kujitoa ufahamu haimaanishi TAMISEMI haina sheria za mipanyo miji pitia website yao! Nina uhakika kama Kikwete angefanya haya Msoga kwake mitusi ambayo angeshushiwa kusingekalika humu ndani!Shukran sana mkuu, Kwahiyo kabla ya kuangalia hii video unanihakikishia kabisa humu nitaona jinsi katiba inapiga marufuku baadhi ya miji Tanzania kupewa miradi ya maendeleo na pia video inaonesha jinsi gani Chato ilipendelewa kuliko miji yote Tanzania c ndio mkuu.
Jaribu kwenda msoga alafu uone kama utakutana na vumbi la Chato.kujitoa ufahamu haimaanishi TAMISEMI haina sheria za mipanyo miji pitia website yao! Nina uhakika kama Kikwete angefanya haya Msoga kwake mitusi ambayo angeshushiwa kusingekalika humu ndani!
punyeto inashusha uwezo wa kufikiri mwambieni huyu Geza Ulole aacheShukran sana mkuu, Kwahiyo kabla ya kuangalia hii video unanihakikishia kabisa humu nitaona jinsi katiba inapiga marufuku baadhi ya miji Tanzania kupewa miradi ya maendeleo na pia video inaonesha jinsi gani Chato ilipendelewa kuliko miji yote Tanzania c ndio mkuu.
Amekuwa na mambo ya ajabu sana, udini unamsumbua huyu mzee.punyeto inashusha uwezo wa kufikiri mwambieni huyu Geza Ulole aache
as if chato sio tanzania ata hivyo sjaona mradi wa hovyo ambao haugusi maisha ya common mwananchi chato!!Amekuwa na mambo ya ajabu sana, udini unamsumbua huyu mzee.
Hawa wanataka kuona Watz karibu milioni 40 wanaomlilia Magu ni wajinga, nchi nzima ilikuwa inajengwa, lami kila kona, masoko madaraja hospitali n.k lkn mzee alipojaribu kupeleka maendeleo na Chato kwa watanzania wenzetu watu hawataki, walitaka asipeleke maendeleo na kule walipomlea? Kwan watu tunasoma ili iweje kama co kuokoa Jamii inayotuzunguka kwa kutatua kero zao? Walitaka Chato imlee alafu iambulie patupu? Je wao wangeweza? Yani wapeleke maendeleo kote lkn kwao wapasahau!!!as if chato sio tanzania ata hivyo sjaona mradi wa hovyo ambao haugusi maisha ya common mwananchi chato!!
jk aliona msoga inataka li mansheni lake tuu and nothing more
Mm ningewaona wana akili kama wangesema JPM alikuwa anajilimbikizia mali lkn kumbe alikuwa anajenga nchi nzima ikiwemo na kwao ss shida iko wapi.as if chato sio tanzania ata hivyo sjaona mradi wa hovyo ambao haugusi maisha ya common mwananchi chato!!
jk aliona msoga inataka li mansheni lake tuu and nothing more
Halafu hakuna kitu kinanikera km watu kumtusi na kumfananisha magufuli na huyu mwanamama mpumbavu Samia suluhu Hassan.Hususan huyu jamaa aitwaye opportunistic cost Hana akili kabisa.Eti anamlinganisha Samia Suluhu na Magufuli.Hata haya Hana.Mm ningewaona wana akili kama wangesema JPM alikuwa anajilimbikizia mali lkn kumbe alikuwa anajenga nchi nzima ikiwemo na kwao ss shida iko wapi.
Hawa wapumbavu wachache tunapambana nao humu mpk waelewe, najua watachelewa kuelewa lkn hatutachoka kuwaelewesha ili baadaye tutumie msemo wa TULIWAAMBIA.Halafu hakuna kitu kinanikera km watu kumtusi na kumfananisha magufuli na huyu mwanamama mpumbavu Samia suluhu Hassan.Hususan huyu jamaa aitwaye opportunistic cost Hana akili kabisa.Eti anamlinganisha Samia Suluhu na Magufuli.Hata haya Hana.
Barabara yenye hadhi ya juu kama hii hutaiona TZ hadi Yesu arudi.Hivi wenzetu wanatumia nini kujenga barabara? Tope ama? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1976252
Kweli kabisa yani unamfananisha Magufuli na huyu mama mpika visheti?Hawa wapumbavu wachache tunapambana nao humu mpk waelewe, najua watachelewa kuelewa lkn hatutachoka kuwaelewesha ili baadaye tutumie msemo wa TULIWAAMBIA.
Iko wapi ss hyo road yenye hadhi ya juu wkt ishachakaa kabla hata haijafunguliwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Barabara yenye hadhi ya juu kama hii hutaiona TZ hadi Yesu arudi.
NaKule skyscraper huwa na deal na mambo ya Tz tu, huwa sijishughulishi na habari zenu cz hakuna jipya mtapost, na kama kungekuwa na jipya mngeshapost humu, tofauti ni nn mpk msipost humu, mmeanza kutafuta sababu wapuuzi nyie, mshamaliza picha zote wkt cc ndiyo tunaanza.
Geza ulole anamchukia Sana Magufuli,japo sijawahi kuona akianaika mabaya yake humu,alafu inamuuma Kuona wananchi wa Chato wanapata maendeleo Kama wananchi wengine wakati kuna mikoa ilifanyiwa maendeleo na Magufuli kuliko hata hiyo chato.mfanoKweli kabisa yani unamfananisha Magufuli na huyu mama mpika visheti?
Siku hz kila kitu bongo kinasuasua mpk umeme unasuasua.
Bullshit!
Halafu eti jitu pumbavu linamtetea huyu mama
Huyu mzee amejipunguzia umaarufu humu ndani kwa sintofahamu zake.Na
Geza ulole anamchukia Sana Magufuli,japo sijawahi kuona akianaika mabaya yake humu,alafu inamuuma Kuona wananchi wa Chato wanapata maendeleo Kama wananchi wengine wakati kuna mikoa imefanyiwa maendeleo kuliko hata hiyo chato.mfano
1.Alichukua uamuzi mgumu kutekeleza maamuzi ya serikali ya kuhamia Dodoma wakati serikali nyingi hazikuwa na nia hiyo
2.Alijenga hospital ya Rufaa ya mtwara.
3.Alijenga meli Ziwa Nyasa,na ziwa victoria
4.Bandari ya mtwara na karema
5.Kiwanja cha ndege katavi
Hayo yote sio ya chato,lakini unashangaa huyu jamaa hayataji hayo anashinda humu kupiga kelele kuhusu chato. Mwanzoni nilikuwa namkubali Sana,lakini kwa tabia hizi za kibaguzi na kufuatilia vitu vya kitototo nimemvua kofia aise!yaani utadhani chato sio TANZANIA!? Shubamit!!!
Na
Geza ulole anamchukia Sana Magufuli,japo sijawahi kuona akianaika mabaya yake humu,alafu inamuuma Kuona wananchi wa Chato wanapata maendeleo Kama wananchi wengine wakati kuna mikoa ilifanyiwa maendeleo na Magufuli kuliko hata hiyo chato.mfano
1.Alichukua uamuzi mgumu kutekeleza maamuzi ya serikali ya kuhamia Dodoma wakati serikali nyingi hazikuwa na nia hiyo
2.Alijenga hospital ya Rufaa ya mtwara.
3.Alijenga meli Ziwa Nyasa,na ziwa victoria
4.Bandari ya mtwara na karema
5.Kiwanja cha ndege katavi na viwanja vingine vingi nk.
Hayo yote sio ya chato,lakini unashangaa huyu jamaa hayataji hayo anashinda humu kupiga kelele kuhusu chato. Mwanzoni nilikuwa namkubali Sana,lakini kwa tabia hizi za kibaguzi na kufuatilia vitu vya kitototo nimemvua kofia aise!yaani utadhani chato sio TANZANIA!? Shubamit!!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]we mzee banaNitajie wilaya nyingine Tanzania iliyopata upendeleo Tanzania kama Chato kipindi cha Urais wa Marehemu Magufuli, yaani imejengewe uwanja wa ndege wa Kimataifa, ikapewa ferry, ikaanzishiwa mbuga ya wanyama, ikajengewa uwanja wa mpira, ikajengewa soko la dhahabu, ikajengewa machinjio na soko la mnada la kisasa, ikajengewa ofisi ya Tanesco ya kisasa, Ofisi ya CRDB ya kisasa, ikajengewa stendi ya mabasi ya kisasa, chuo cha VETA cha kisasa, hospitali yenye hadhi ya rufaa ya kanda, mabarabara na mataa ya barabarani, nyumba za polisi n.k.! Mind you Chato ina idadi ya watu 365,000 vs watu 807,000 Geita Town (sensa 2012)! Wacha kufuru mzee!
matusi si sawa angalia sasa anavyokujibu!Hilo ni ***** kama unabisha muulize picha ya mashoga aliyo kuwa kapost humu baada ya mimi kumuumbua kafuta ,alikuwa anawasifia