KENPAULITE
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 3,511
- 3,313
Thank you for noting he is a black kenyan,hizo zingine ni non issueYani nusu ya ardhi ya kenya ni ya kenyatta pekeake
πππππππππ
Kweli wataendelea kusaga meno mpaka dunia ismame
Nimekuambia leta statistical information wewe inaleta blah blah hapa. Give me the source of your data (Statistical information)As I have said, every information that does not contain 2017 data is outdated.
But you can see here. From the 20% you were quoting in 2013 to 34% in 2014.
14% in a single year. Ongeza za 2015, 2016 and 2017.
Hii ichoboy sasa tuanze kumuita ichochild,anajua what is 190 billion ama anaona ni tzs?South Africa yearly gold revenue(largest in Africa,)= $ 4 b
Tanzania 270 containers=over $ 190 b
Ujinga ya kuzaliwa ni real
sent from iPhone 7
safi tuwaache wakikuyu waendelee kunyenyekea wazungu mpaka kiamaHivi wewe unacheza na Magufuli. Soma hiyo kutoka kwakeView attachment 550582
Acha kutuletea cooked figures. Real source ya GDP per capita hii hapa. Hapa sio Nairaland.Kenya GDP Per Capita - $1,455
Tanzania GDP Per Capita - $879
Hio ndio maana ya LDC.
hiyo ni akili yako ya chooni......huku hatutaki investors uchwala wanaohujumu uchumi kwa kukwepa kodi huo ni wizi.....The GDP will drop
sent from iPhone 7
we waache .....nimegundua kuwa wakenya ni watu wanaonyenyekea sana wazungu........Tumeshklia makontena ya dhahabu zaidi ya 277 yako bandarini wakatae kulipa tuyapige mnada alaf uone kama 190 billion usd haifiki......
Usifkiri tumekaa kimya wajingaπππ
Makontena mengine ya mchanga wa dhahabu yanaswa | East Africa Television
Wewe mkenya hii habari niya leo . Mnapo cook figures msianze kujisahau nakulopoka kwenye media. This proves that your actually LDC. Hii news ya leoUseless comparisons. Watanzania ni maskini hohehae.. period.
na hili ndiyo limekuwa funzo kwa nchi zote africa na investors kwa ujumla na dunia[emoji40]Unaelewa kiswahili wewe bwege hio ni deni ya 17 yrs kenge wewe....ππ
Unafkiri kwann wanataka suluhu na serekali wanajua mali zilizomo kwenye makontena ni balaa
Ndio maana wamechanganyikiwaπππ
safi[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wewe dogo naona umeanza kuwa kichaa kidogo. Unavizia usiku tumelala unakuja kujaza server yetu ya TZ kwa mashudu yako.
Pesa tunadai sisi kinacho kuwasha ni nini!?
Since 1999 wamekuwa wakidanganya na kukwepa kodi. Sasa piga hesabu ni miaka mingapi!?
Halafu usitulinganishe na SA, Tanzania kwa upande wa dhahabu ipo juu.
Halafu nyie maskini tunawapa kichwa sana.
Hivi nyie wakenya mnalolote la kujitapa juu ya TZ. Tunawapa only 5 years. Hamna chochote cha kisema juu ya Tz. Kama mafuta tanzania yapo yamejaa. Nyie ni maskini Tanzania ni tajiri. Mnapika data na kutoa za uongo.
huyo ana akili........naona katumia freedom speech...
sent from iPhone 7
Mkuu fatilia kitu huku TZ kinaitwa REA. Vijij vyote vinakula umeme. Tumeshamaliza first phase tunaenda second phase. Tumeanza mpango wakujenga Hydroelectric dam tukishilikiana na Ethiopia ya 2,100mw almost to all Kenyan grid power of 2,330mw. Kwenye umeme kaa kimia.be updated. Electricity sa ii Kenya ni around 70% coverage. by 2020 itakuwa hatia kama hauna stima kwa nyumba.
we all know that Tanzania is a Very Poor Country
Population of Kenya (2017 and historical)
Wewe jamaa unatuletea info za kwenye matangazo ya kampeni za Jubilee. No real factsAny information that is not 2017 data is useless.
Kenya has connected more people to electricity in the last 4 years than in the previous 50 years.
wanajua thamani iliopo humu ndio maana wanataka suluhu usiku na mchanaπππππ
zinawauma sana mkiskie hio kituππππππHii ichoboy sasa tuanze kumuita ichochild,anajua what is 190 billion ama anaona ni tzs?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuambia leta statistical information wewe inaleta blah blah hapa. Give me the source of your data (Statistical information)
Sasa unakuja na kuimba mapambio nikueleweje?