The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,849
Hehehehee wakati huu uzi unaanza mlidhani tunatania, tulikuwa hatusikii habari za kufanya miradi yenu kmy kmy now baada ya kuona sindano zinazidi mnaanza kuongelea mambo ya kmy kmy kwamba cc tumekuwa wageni na tabia za wakunya, jana tu mlevi wenu kapiga picha na Biden mmepost usiku wa saa tisa kwa kihelehele na kupenda sifa za kijinga, eti leo mnafanya miradi kmy kmy iko wapi sasa hyo miradi ya kmy kmy [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jamaa kumbe wamejisahau, nakwambia watakuja kupatwa na mshtuko wa moyo walai
Mradi wenyewe ni wa wenyewe (wachina)Jamaa wamebaki na mradi mmoja tuu [emoji3516][emoji3516][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jana umeshtuka kuona mradi eldiret unaenda kimya kimya[emoji1787][emoji1787]
Mwkaani mombasa inakuja kuwatia presha na huo huo mradi mmoja uliobaki
alikatazwa na nani??? Where did you get that info??, the only thing that Kenyatta will accomplish from this meeting no kupata vaccines, nothing more nothing less! Biden currently ana mambo mengi kichwani mwake from his infrastructure agenda kukwama Congress, debt ceiling, supply shortages across Us, democrats wrangling and infighting and so many issues!Greatest country to ever exist the USA. Wivu haisaidii. Magufuli hakuwahi karibia na Samia alikatazwa juzi Newyork kukutana na POTUS. [emoji23][emoji23][emoji382]View attachment 1974824
Yatapigwa tu hayo majinga, kwanza yanauchovu wa kulala kwenye viti pale Airpot [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Goh Mahia [emoji1139] leo niko upande wao.. muwatoe hawa Al Ahyl Merowe ya Sudan [emoji1232] kwa kuwafunga both legs.. mkiwatoa mtapunguza uwezekano wa Sudan kuwa na points nying wanapoingia group stages.. then Tanzania tutapanda juu
View attachment 1975648
Wacha watusaidie kupanda, yn Kenya kwa sasa kila wanalofanya likiwa zuri basi litainufaisha Tz, likiwa baya halituhusu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]leo wako vizur.. saiz tayar 1-3
Mbaya zaidi mradi wa mchina pesa ya mchina mmiliki mchina na kulipia watalipia 😆😆😆😆Watoto wa Nairobi mmebaki na mradi m1 tu wa expressway? C'mon guys mbona mmelemewa sana...
Na bado kuna kesi nyingine inamkabili nafikiri hiyo nyingine anaweza akapigwa 30 zingine, afungwe tu mbwa huyo.sabaya na wenzaks wamepigwa nyundo 30
Eti anaambiwa ajitetee anasema ana mchumba, sasa mchumba afungwe naye au [emoji116][emoji116]sabaya na wenzaks wamepigwa nyundo 30
kweli kabisaHivi ni nani anaye husika na upandaji wa maua na miti kwenye barabara zetu mbona wanafanya kifisadi hivi hapo ukifutilia utasikia milioni kadhaa zimetumika kulipa kampuni fulani kupanda maua na kutunza hizo bustani [emoji3061][emoji3061]tena utakuta wamiliki wa hiyo kampuni ni hao hao wahusika wanajipea tenda wenyewe cheki huo upandaji wa maua ulivyo wa kienyeji kwanini wasitumia hata magereza na wafungwa kuzalisha miche bora na kupanda kwa ustadi wa vipimo
Pandora papers ni mradi wa kimya kimya!Hii nchi yetu ina mambo mengi makubwa na kwamba haitaisha leo wala kesho, kila Rais anayekuja atataka kumfunika mwenzake na hyo ndio mentality ya legacy iliyoachwa mtake msitake, so kushindana na Tz kwa vinchi vya East and Central Africa ni kujichosha tu cz mkitaka kufanya hiki mnagundua Tz imefanya mara 10 ya mlichokifanya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
tushawaandaa hao,wanapata experience ya kutosha miaka mingi ijayo watakuwa hawashikiki..Mmh hawa suma jkt kila mradi waoo [emoji848]