Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mama kagundua magufuli hakuwa mbaya ila mtu usipokuwa kwenye kiti cha uraisi uwezi kujua nini kinasababisha kuwa vile alivyokuwa mkali sana kwa wafanyakazi wa serikali ,pia mama kajua legacy ya magufuli siyo ya kushupazia shingo inaweza kuvunjika
Chezea mzimu wa Magufuli wewe! Lazima chifu Hangaya akamilishe tu miradi yote iliyoasisiwa na Magufuli vinginevyo hatakuwa na amani na urais wake kamwe!
 
wataalam wa ujenzi Tz wapo smart sana huwa wanazingatia,

ukienda kenya ni tofauti labda awe mjenzi mgeni
Hata akiwa mjenzi mgeni bado atavurunda kwasababu ya rushwa, Kenya ni totally the failed state mkuu, ni nchi ya wajinga na wazembe ofcz ni nchi ya wapumbavu sn.
 
Muulize kwanza hicho alichopost ni kitu gani mana hapo panaonekana ni shambani, na structure amepost haielezi chochote since ipo empty kinachoonekana hapo ni trekta moja tu, uskute hata sio stendi ya Malory
hapo jamaa kapiga changa ,kaingia zake gooogle kaforce kusearch kitu ambacho kiuhalisia hawana kisha kaiona picha akadownload,
hiyo ndiyo nature ya mkenya[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwani ni kesho
 

Attachments

  • FB_IMG_16342406921902479.jpg
    48.4 KB · Views: 23
  • FB_IMG_16342407001515441.jpg
    33.7 KB · Views: 23
Wadanganyika wajifunze kingereza
 

Attachments

  • FB_IMG_16342406921902479.jpg
    48.4 KB · Views: 23
  • FB_IMG_16342407001515441.jpg
    33.7 KB · Views: 24
‘liko karibu na barabara kama la Tanesco ubungo’
otherwise rudi nyumban kesho ni siku ya kazi pia
Jengo liko Arusha hilo kaka..nahisi umechanganya na Maji house la Ubungo ..cause yote ni 17flrs
 
Shhhhhhh!!!!
 

Attachments

  • FB_IMG_16342412798306562.jpg
    40.3 KB · Views: 22
  • FB_IMG_16342406921902479.jpg
    48.4 KB · Views: 23
Danganyikan dream
 

Attachments

  • FB_IMG_16342414266246078.jpg
    40.1 KB · Views: 23
Wakenya ni wapumbavu mno yn ujinga waliobeba ni wakuzaliwa, watu tupo bize kuonesha hatua tulizopiga wao wanashangilia kukutana na rais wa Marekani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…