Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa nini barabara ni ya mchanga na sio lami? Inakera kuona mazingira mabaya namna hii yameizunguka jengo muhimu kama hili.
Huo ni mji mpya unajengwa kila mahali, Subiri 2025 ndio mtaelewa tunamaanisha nini, kila mahali Dom inajengwa hapo unapopaona hivyo lazima ipite lami [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Good observation
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…