Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mpumbavu mama yako mzazi!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nilijua ume ni block kumbe upo live[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].mbonq nilipo kuomba unitumie ile picha ya machoko ysmepaka lipstick ukunitumia na humu imefutwa au ni wewe ulifuta? Nitumie niko na shida nayo
 
mkuu kaburi haliimhitaji mbwembwe,kuna mda tuachane na maada zisizo na tija,

mambo ya waasisi
Hapana mkuu, kaburi la mkuu wa nchi halitakiwi kujengwa hovyo hovyo eti sababu halihitaji mbwembwe. Kama watu binafsi tu wanajengewa kaburi yenye muonekano mzuri sembuse mkuu wa nchi? Kujenga kaburi la muonekano wa hovyo wakati uwezo (kifedha) wa kujenga kaburi zuri upo ni kejeli au alama ya kutomheshimu anayemjengewa hilo kaburi.
 

halafu hilo paa utafikiri Chato kuna-snow! sasa mvua si italeta mmong'onyoko inapodondokea? 🤣🤣😱
 
Mfano mzuri ni China huwa anafanya devaluation ili kuongeza exportation, lkn haina mana kuwa uchumi wake ninmdgo.
Value ya currency ni namba tu, ukiangalia south korea wapo mpka na 100000, ukitaka uwe chizi jaribu kulinganisha izo namba ujione unauchumi mkubwa kuliko s.korea
 

Izo ni mbwembwe tuu mbona la mkapa lipo simpo tuu watu hawasemii
 
Izo ni mbwembwe tuu mbona la mkapa lipo simpo tuu watu hawasemii
ndo nilichokuwa nasema ndo maana nimeleta la Mandela na Bush Snr pia watu waone makaburi ya familia yanavyopangwa! Kama unajenga mausoleum basi iwe inapendeza au kama ni makaburi tu kama ya familia basi garden nzuri ya kuvutia! basi hata mkishindwa basi kokoto nyeupe! Serious japokuwa la Mkapa gharama ndogo linapendeza kuliko la Magufuli!









 
This is very good. We have to protect Kenyan industries, Kenyan farmers and Kenyan airline. Tunawapenda ndugu zetu lakini sio kiasi hiki cha kuwaruhusu kuuwa industries zetu.
Kwani lazy anawezaje kuthreat vitu vyote hivyo?[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
 
air tanzania aka wings of kilimanjaro are only flying coffins. hamuna ubunifu kwenye hii fani, kwenyu hii ni jambo geni sana. tuulize sisi watu wenye uzoefu katika hii sector. tuna tesa hadi anga ya juu
 
Northern Korea ndo wana GDP ndogo kuliko Kenya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
air tanzania aka wings of kilimanjaro are only flying coffins. hamuna ubunifu kwenye hii fani, kwenyu hii ni jambo geni sana. tuulize sisi watu wenye uzoefu katika hii sector. tuna tesa hadi anga ya juu
Sasa subiri 14× a week ndo utajua ujui [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…