Wewe unashangaa hiyo ,wakenya wanashangaa kuachia misosi kwa kurdish nyumbaniDuh wamewatoa nyati kumi kwenye dimbwi na kuwarudisha porini!!?? Aisee hawa wanyama unajua ni zaidi ya noma? Wana hasira mpk huwa wanatoa machozi kabisa.
wacha kupotosha wosia wake kasema azikwe kwake Chato kwenye makaburi ya familia! Wosia gani ulipuuzwa? ndo maana huwa nawajibu ovyo!Wosia uheshimiwe tafadhali!
Huu uhusiano mwema kati ya Kenya na Tanzania naona unaleta madhara mabaya katika uchumi wa Kenya. Hata afadhali ile enzi ya Magufuli ambapo tulikuwa tunapigana vita vikali kila siku. Saa hii wakulima wenu wanauza vyakula Kenya, ndege yenu inakuja Kenya kuuwa ndege yetu. Hapana, haiwezekani. Afadhali turudi kwa kupigana tu. Naomba uhuru alianzishe dude, afunge mipaka tena.
This is very good. We have to protect Kenyan industries, Kenyan farmers and Kenyan airline. Tunawapenda ndugu zetu lakini sio kiasi hiki cha kuwaruhusu kuuwa industries zetu.
hunipangii cha kuongea pita chonjo!mkuu kaburi haliimhitaji mbwembwe,kuna mda tuachane na maada zisizo na tija,
mambo ya waasisi
Sasa wewe mpumbavu ulifikili walio muua wanaweza kujenga kitu creative you very stupid[emoji849][emoji849][emoji849]Tatizo unakuja na negative mentality unashindwa kuona point. Mi naongelea kumuenzi inavyopaswa! Hiyo mausoleum iliyojengwa haijakaa vizuri! hamna chuki hapa!
BTW huwezi kunilazimisha kumpenda unayempenda kila mtu ana opinion yake though opinion yangu kwenye hii nyumba ya kaburi la Magufuli ililenga kujenga.
This is Kenyatta's mausoleum
Tom Moboya's mausoleum
Oginga Odinga's mausoleum
Nyerere's mausoleum
Nkrumah's mausoleum
Mandela's Graveyard
VS
Magufuli's mausoleum
MY TAKE
Well wacha niambiwe namchukia ila that thing for Magufuli is ugly! No creativity!
Waeleweshe wakunya wenzako waelewe ndio maana huwa nasema kwamba wewe Tony hufanani na hawa wakunya wenzako.Nguvu ya safaru haina uhusiano wowote na nguvu ya uchumi wa nchi husika. Hata Ethiopia ina sarafu yenye nguvu kushinda Japan lakini hio haimaanishi kwamba uchumi wa Ethiopia ni mkubwa kushinda uchumi wa Japan. Vile vile safaru ya Kenya ina nguvu sawia na ya Japan yaani 1 to 1 ratio ( shilingi moja ya Kenya ni sawia na yen moja ya Japan) lakini hio haina maana kwamba uchumi wa Kenya unatoshana na uchumi wa Japan. Ni kawaida watu wasiolewa mambo ya uchumi kufikiri kwamba nguvu ya safaru ya nchi husika ina uhusiano mkubwa na ukubwa wa uchumi. Nchi za bara Asia huwa zinapunguza nguvu ya sarafu zao ili kufanya exports zao kuwa more competitive.
noma sanaKampuni ya Abood leo imeingiza Tanzania basi mpya 20. Gari zimepelekwa kwao Morogoro.View attachment 1973292View attachment 1973294View attachment 1973300
Mpumbavu mama yako mzazi!Sasa wewe mpumbavu ulifikili walio muua wanaweza kujenga kitu creative you very stupid[emoji849][emoji849][emoji849]
Tuliwaambia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni Kheri tu tuanze vita maana kwenye uhusiano mwema sisi ndio tunaumia.
Ni Kheri tu tuanze vita maana kwenye uhusiano mwema sisi ndio tunaumia.
Nature ndio inasababisha tuwatawale kwa ss.This is very good. We have to protect Kenyan industries, Kenyan farmers and Kenyan airline. Tunawapenda ndugu zetu lakini sio kiasi hiki cha kuwaruhusu kuuwa industries zetu.
Nyani [emoji117][emoji205]Batarokotakunyavu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tuliwaambia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
hakuna aliyekupangia cha kuzungumza we tiririka upendavyo mpaka dunia ipasukehunipangii cha kuongea pita chonjo!
Hii battle inakufa kabla ya 2025.Nyani [emoji117][emoji205]Batarokotakunyavu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naona unafungua moyo kwa mama [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mama kama mama, nani kama mama hakuna, Mama la mama Rais wa kwanza mwanamke East Africa, yn Tanzania ndio baba wa Democracy EA, anaitwa Samia Suluhu Hasan, a.k.a Madam Samia, mm ukifanya vizuri nakusifia ukizingua nakuripua cz I am purely communist.View attachment 1973201
Number only matter when they show its value in a basket of goodseti the biggest denomination in Tz Tsh10,000/-, is equivalent to only Ksh400/-. tz mkonashida aky View attachment 1973210View attachment 1973226
Mulianzishe dude...mnapumzi sasa? Wakati mnakufa njaaaHuu uhusiano mwema kati ya Kenya na Tanzania naona unaleta madhara mabaya katika uchumi wa Kenya. Hata afadhali ile enzi ya Magufuli ambapo tulikuwa tunapigana vita vikali kila siku. Saa hii wakulima wenu wanauza vyakula Kenya, ndege yenu inakuja Kenya kuuwa ndege yetu. Hapana, haiwezekani. Afadhali turudi kwa kupigana tu. Naomba uhuru alianzishe dude, afunge mipaka tena.