joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Itasaidiaje kupunguza jangwa/ukame ambao ndio sababu kubwa ya njaa na vifo?Kwani wewe huoni kwamba barabara mbaya pia ilikuwa inachangua ukali wa baa la njaa? Barabara ambayo haipitiki na inachukua siku nne kutoka Nairobi hadi Turkana saa hii inachukua chini ya masaa 18 kutoka Nairobi hadi Turkana.
Tickets are now available....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unadhani Kenya itaruhusu ndege yenu kupiga route ya Nairobi? Wacha kuota mchana mzee.
Huyo mkikuyu ana wivu hakuna mfano.No comment....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1973021
Yaani, sasa hivi nakamata mmoja mmoja, Nampa vitu, anakaa pembeni, anavutwa mwingine.Huyo mkikuyu ana wivu hakuna mfano.
Pitia uzi wa EACOP ndo utaona namna alivyo na wivu kiwango cha Ile mitungi yao ya changaa.
Swali tu, Saudi Arabia ni Jangwa na hawapandi chakula ila wanalisha watu wao wote. Wanawezaje kufanya hivyo? Hakuna Wakulima wengi huko Saudi Arabia ila wanakula na kukunywa. Saudi Arabia inaimport chakula chao karibu chote. Serikali ya Saudi Arabia ingewezaje kudistribute chakula hicho kwa raia wake bila barabara nzuri? Barabara mbaya kinaongeza makali ya njaa. Simple tu maana hata serikali ikitaka kusaidia wananchi wake, lorry za chakula zinaharibikia njiani, au zinakwama matopeni. Zinapata hitilafu kwa sababu ya barabara mbovu. Puncture na kuvunjika kwa shock absorber ni baadhi ya matatizo yanayozikumba malorry yanayosafiri kwenye barabara mbovu. Kama inachukua siku nne badala ya masaa 18, basi hata baadhi ya vyakula vitakuwa vimeharibikia njiani kwa mfano maziwa au samaki, au mboga kama sukuma wiki. Usipuuze umuhimu wa barabara ya lami kwa kupunguza makali ya njaa. Benefit yake ni indirect lakini itaonekana polepole. Pia barabara mbaya ilikuwa inawafanya Wakenya katika maeneo mengine kutotangamana na Waturkana. Sasa hivi Waturkana wanaweza kusafiri virahisi hadi maeneo mengine ya Kenya na kufanya biashara. Vile vile Wakenya kutoka maeneno mengine ya nchi wanaweza kuenda Turkana na kuinvest katika biashara kama hoteli na kadhalika. Usipuuze the economic benefits ya hii barabara. Manufaa yataonekana baada ya miaka mitano au kumi.Itasaidiaje kupunguza jangwa/ukame ambao ndio sababu kubwa ya njaa na vifo?
Hakuna ndege ya Tanzania ambayo imewahi kuja Kenya kutoka enzi za East African airlines. Sema Uhuru anampenda mama na amemuonea huruma tu.Tickets are now available....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1973021
Hahahaha, KQ ikipoteza routes za Tanzania ni sawa na mvulana kukatwa sehemu zake za Siri?Unadhani Kenya itaruhusu ndege yenu kupiga route ya Nairobi? Wacha kuota mchana mzee.
Mme invent nini cha kuistua duniaKujeni mpate maarifa kutoka kwa the most ICT savvy country in Africa as ranked by many international organisations. Kenya kwa ICT hapa Afrika inapewa heshima sana.
Huo upuuzi wa kwamba mtakuja Nairobi 14 times a week siamini. Hata KQ sidhani inakuja TZ 14 times a week.Tickets are now available....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1973021
MpesaMme invent nini cha kuistua dunia
Hata mimi nimeshangaa Uhuru anafanya nini? Anawezaje kuwaruhusu malazy kuja Nairobi kuuwa KQ? Hio haikubaliki. Wakenya watazua rabsha wakifahamu kuwa TZ inajaribu kuuwa KQ.Hahahaha, KQ ikipoteza routes za Tanzania ni sawa na mvulana kukatwa sehemu zake za Siri?
Wakongwe washa sema mara nyingi tu humu ndani.Huo upuuzi wa kwamba mtakuja Nairobi 14 times a week siamini. Hata KQ sidhani inakuja TZ 14 times a week.
Huwa wanapenda kujitia hamnazo lakini pamoja na kujitia kote hamnazo bado wanapewa kichapo humu. [emoji23][emoji23][emoji23]Yaani, sasa hivi nakamata mmoja mmoja, Nampa vitu, anakaa pembeni, anavutwa mwingine.
Taratibu, no stress no hasira, mpaka teheshimiaene humu... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unajua kwenye uchumi, vitu vyote vipo connected, KQ kutokana na matatizo ilizo nazo, including madeni makubwa, uje jumlisha madeni ya Kenya in general, haiwezi ku afford ku compete na Air Tanzania.Hahahaha, KQ ikipoteza routes za Tanzania ni sawa na mvulana kukatwa sehemu zake za Siri?
Yaani mtu aache kupanda Airbus mpya ya kisasa eti apande Ile mikweche iliyo shikizwa na gundi kwenye bawa! [emoji23][emoji23][emoji23]Unajua kwenye uchumi, vitu vyote vipo connected, KQ kutokana na matatizo ilizo nazo, including madeni makubwa, uje jumlisha madeni ya Kenya in general, haiwezi ku afford ku compete na Air Tanzania.
Sisi tutaweka bei ndogo na hawato weza ku follow. Matokeo yake, watapoteza hii route.
Angalia nilipopigia mstari jasho litakutoka,from nov route 2 kila siku,tutaheshimiana humuUnadhani Kenya itaruhusu ndege yenu kupiga route ya Nairobi? Wacha kuota mchana mzee.
Nakumbuka a while back, nilikuwa na route sana za Uganda kwa basi.Yaani mtu aache kupanda Airbus mpya ya kisasa eti apande Ile mikweche iliyo shikizwa na gundi kwenye bawa! [emoji23][emoji23][emoji23]
Nyani ako na IQ ngapiHuo upuuzi wa kwamba mtakuja Nairobi 14 times a week siamini. Hata KQ sidhani inakuja TZ 14 times a week.