Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hakuna aliyekubaliana na huyo mbwa sema huwa tunamuona kama chizi humu.
 




MY TAKE
Najiuliza huu ujumbe unawalenga watu wa kabila lipi ambao wamefanya makosa halafu wakatolewa wakaamua kucheza kadi ya ukabila?
 
We are going to witness a rapid boost on social services which is crucial to the real development ..inayogusa wanachi wengi kwa Mpigo...Magu Alianzisha kwa majengo..the equipments are now following ..plus majengo mengine mengi kama EMDs na ICU
Kumbe magu kajenga maghofu tu[emoji1787][emoji1787]
Geza Ulole tulikwambia sana wakati ule km nyie mnajenga maghofu lkn ukabisha sana, umeona sasa mumeumbuka...

Kumbe hata hela yenywe mlikua hamna
 
Hahaha, mtu huwezi ukatoka Form 4 alafu uwe Engineer.. Kenya wanamatatizo
Form4 wa kenya akija tz anaingia direct chuo[emoji1787][emoji1787]
Class 7 wenu akija hku anarudia kamwe hawezi enda la nane form 4 wenu akija hku anarudi form2
 




MY TAKE
Najiuliza huu ujumbe unawalenga watu wa kabila lipi ambao wamefanya makosa halafu wakatolewa wakaamua kucheza kadi ya ukabila?
Hakuna kabila linalolengwa hapo, hiyo ni inferiority complex aliyonayo mama ambayo anaitoa kwenye mitandao kwamba anapendelea wazanzibari. Kuna baadhi ya mambo ya kwenye mitandao aachane nayo.
 
Umesema eti kampuni inaitwa aje?[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]
Tunawajengea airport[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Waumwaeee kuskia hvo...
Mwanza airport tunawajengea sisi bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…