Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,804
- 41,709
Jitahidi kuongea vitu unavyovijua tu, ndio uungwana, vitu usivyovijua jitahidi kuuliza uambiwe.. kuongea uongo ni dhambiDeni? Ama rubani alikwangua rangi ndio ikashikwa na trafiki[emoji1787][emoji1787]
Ndege sio za atcl bali ni za GOT, yani wenye madeni na tz wote wanazikulia timing..
Endelea kukopa nje sana tu, manake external debt yenu kuna siku niliiona mpka nikasikitika..yani nchi haijiwezi
Kawaida ya mtanzania maneno mengi, zero factsHiyo bajeti yenu ya elimu mnatumia kufanya nini kisha.? Mana government schools in Tanzania ni nzuri kuliko za kenya, mtuambie bajeti inayotengwa kwaajili ya elimu mnaitumia kufanya nini au kama kawaida yenu wazee wa kubumba namba.?
Tanzanian external debts are almost 80% of their total debts. That's a very sad situation indeed.Deni? Ama rubani alikwangua rangi ndio ikashikwa na trafiki[emoji1787][emoji1787]
Ndege sio za atcl bali ni za GOT, yani wenye madeni na tz wote wanazikulia timing..
Endelea kukopa nje sana tu, manake external debt yenu kuna siku niliiona mpka nikasikitika..yani nchi haijiwezi
Tanganyika na zanzibar ndio iliunda Tanzania ...sasa sijui ni ujinga gani unao kichwani anaweza asiewe mtanganyika lakin ni mtanzania pia mm sio mzanzibar lakin ni mtanzania ...wivu ni wanini nyie fukaraKm zanzibar ni tz basi mngelikua mnakaba pale mama anapoteua watu wenye asili ya kizenji..tatizo nyie inawauma[emoji1787][emoji1787]
We have so many construction companies in Kenya such as Nyoro Construction Company owned by Kenyan unlike Tz which only have one construction company owned by an Indian.Nyie hata mnajiweza.? Hivi uko kwenu kuna kampuni za ujenzi kweli.? Owky heb taja kampuni ya ujenzi ya kikenya inayojenga Mwanza international airport.?
Mbonw msinunue mkaenda kukopa?..fukara nyieBajeti yetu ya elimu inanunua ndege kadhaa kwenye fleet ya tz, tena za maana kila mwaka kisha
Ufukar unawatesa snaaTz ya 90s eee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ikiwa mpka sai brt mnaingilia dirishani
We all know that Tanzanian education sector is financed by well-wishers and donorsππ. Tanzania has no muscles to finance her own education requirements. There's no day utaskia Kenya imepata msaada wa pesa kwa ajili ya elimu.Sasa ukisha nunua ndege na budget ya elimu watoto wakae nyumbani sio ndio akili yako inavyokutuma hivyo? Mada hapa ni kununua ndege huku mambo mengine yakiendelea bila kuathiri budget zingine na hiyo inaonesha uwezo wa uchumi wa Tz. Bado tupotupo sana kwenye first financing option government funding, huko kwenye loans and grants tunachungulia kwa mbali ila PPP bado maana serikali yetu haijashindwa bado kutuletea maendeleo.
Future tense.Madarasa na madawati
Daaah hizi habari huaga unazitoa wapi ? πππππDeni? Ama rubani alikwangua rangi ndio ikashikwa na trafiki[emoji1787][emoji1787]
Ndege sio za atcl bali ni za GOT, yani wenye madeni na tz wote wanazikulia timing..
Endelea kukopa nje sana tu, manake external debt yenu kuna siku niliiona mpka nikasikitika..yani nchi haijiwezi
πππππππJitahidi kuongea vitu unavyovijua tu, ndio uungwana, vitu usivyovijua jitahidi kuuliza uambiwe.. kuongea uongo ni dhambi
Future tense.
Wakati nyie mnachukua internal debt kulipa external debt. Au Unajifanya kusahau?Tanzanian external debts are almost 80% of their total debts. That's a very sad situation indeed.
See how shameless you are. You are just proud to announce to us all that IMF is financing Tanzanian education πππacha wivu tajiri.. hela za βIMFβ tayari zimefika, kazi iliyobaki ni kutekeleza ndani ya mwaka mmoja na kuwapelekea reports IMF ya matumizi ya hela yao kama wanavyotaka.. Kazi Iendelee!