Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ila nikunya? Right?as pathetic as your,feel sorry for your mother...Tz n JPM(rest in peace)will kill you oneday
Km zanzibar ni tz basi mngelikua mnakaba pale mama anapoteua watu wenye asili ya kizenji..tatizo nyie inawauma[emoji1787][emoji1787]
 
Naona kijiwe leo kimenoga sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wedding show ni mbali njoo mwnywe uone km hzo location bei utaweza..
Unafikiria kenya kuna vya ubwete km bongo
 
Hakuna nchi inaweza nunua ndege 10 kwa mpigo kwa pesa yake hapa Africa, Uganda wamekopa, Kenya hata mikopo hamuwezi tena siku hizi lazima muingie PPP[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bajeti yetu ya elimu inanunua ndege kadhaa kwenye fleet ya tz, tena za maana kila mwaka kisha
 
Mnanyofolewa nyinyi na tangu mbele mshazoea[emoji1787][emoji1787]
Nchi inatoa hela kununua vitu kiholela km mama mboga vile, matokeo yake ni madeni na kudakwa tu wala hamna jipya..
Faida atcl wataiskia viusasa, si hyo atcl imiliki walau hta ka foker ndio mje hapa
 
Leo nlikua nacheki cosafa, aisee hawa dada zetu wako so organized jambo ambalo tunalimiss upande wetu. Tungekua organized na kutuliza akili kama dada zetu tungekua mbali sana
Nyie hamna zaidi ya mashindano ya regions mzee[emoji1787][emoji1787]
Sasa km hao ndio wako organised na mchuano wao mkubwa wanaojivunia nao ni cosafa, huoni hyo aibu
 
Bajeti yetu ya elimu inanunua ndege kadhaa kwenye fleet ya tz, tena za maana kila mwaka kisha
Hiyo bajeti yenu ya elimu mnatumia kufanya nini kisha.? Mana government schools in Tanzania ni nzuri kuliko za kenya, mtuambie bajeti inayotengwa kwaajili ya elimu mnaitumia kufanya nini au kama kawaida yenu wazee wa kubumba namba.?
 
Kweli nyie mumelishwa pumba, yani kuwa na ndege ndio watu wenu kupanda ndege zenu na kutumia viwanja vyenu..

Akili zako zimeganda km mwaya vile, unafikiria ujamaa una nafasi katika ulimwengu wa kusafiri..
Kila mtu anapanda kile kitu kilichomridhisha
 
Tz ya 90s eee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ikiwa mpka sai brt mnaingilia dirishani
 
Unajua hata ile ndege iliyoshikwagwa kanada, ilishikwa kwasababu zipi.? Au kuropoka tu.?
 
Jamaa unaweka picha za kitambo mnoo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

CBD haina hata blue towers, itakuwa Tz ya Mkapa hiyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hehehe!! Mbana unalalama kichoko mzee tulia ikuingie bana[emoji1787][emoji1787]
 
Kwhyo kumbe hata nyie kununua ndege mpya sio kwamba mna uwezo kutuzidi sio
 
Hata babu wa loliondo alianza hivi hivi kwenye mawazo yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…