Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

afu hawa KQ ukiingia kwenye website yao utaona kuna routes nyingi zinaanzia Dar, inabid tuwatoe hawa
View attachment 1967865
Kwa vile wako partnered na PW inaruhusiwa kutangaza route namna hii hata PW wanatangaza Dubai-Dar flights though hawaendi Dubai! It's upon us ku-partner na local airline Kenya pia! Kwa sasa kinachotakiwa ni wepesi wa Air Tanzania ku-capitalize na hii agressive marketing ya mama kwa kupata more routes across Africa na pia kule Uchina na Thailand na India as a start!

Ila kuna kitu hakijakaa sawa juu ya utendaji wa management ya ATCL, IMHO nadhani haina ubunifu ni kama inajiendesha kimazoea! Refer Kibubu marketing strategy baada ya Dunduliza ya PW yaani ni mfano hai kuoneyesha ni watu wa ku-react kutokana na matukio! They really need to wake up, hizi ndege mbili A220-300 zinakuja leo na nina hakika hawana hata landing permit moja ya kwenda West Africa be Nigeria/Ghana/Cameroon and yet wana routes za Ghangzhou/Bangkok na Mumbai and soon wataanza kutafuta flying permits za continental Europe!
 
mko na madini kila mahali but your still a shit hole ldc country!!ushawahi jiuliza hizo madini zinaingiaga kwa mfuko wa Nani hama uko tu in love with ndii tweets???😄😄😄
hakika Vins, acha ukweli pia nao usemwe. ata kando na madini. tz mzima iko 100% arible, (kenya about 25%). and its almost x2 the size of kenya. wangetia bidii kidogo na kutumia bongo zao vizuri wangekua wanaongoza africa kwa kila kitu
 
Fyokofyoko ya nini mzeeata mwende Washington mbona kitu ya kàwaida hiyo,hama kuja Nairobi ndio dream comes true

Tunawajua nyie na wivu na stupid selfish protectionism mindset,
Hatujasahau vile mliwahujum fastjet wakati ule,
Mara hii ukiweka ugoko, tunaweka jiwe.
 
Kwa vile wako partnered na PW inaruhusiwa kutangaza route namna hii hata PW wanatangaza Dubai-Dar flights though hawaendi Dubai! It's upon us ku-partner na local airline Kenya pia!
great strategy 🤗🤗🤗,,,hiyo mibongolala mwenzako kinadhani aviation business ni Kama kusuply mahindi
 
watakuambia walikomboa Africa kusini which is almost 100× better than them both economically and mostly in democracy😄😄😄
hakika Vins, acha ukweli pia nao usemwe. ata kando na madini. tz mzima iko 100% arible, (kenya about 25%). and its almost x2 the size of kenya. wangetia bidii na kutumia bongo zao vizuri wangekua wanaongoza africa kwa kila kitu
 
alafu mtu akuletee kitu Kama hiki

View attachment 1967867
Ebu acha kujitia aibu na huo uchafu wenu sionwa kulinganisha na n hii kitu kaa mbali snaaa..utapat headech
JamiiForums761268011.jpg
 
Back
Top Bottom