Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

??
my take: sio kwa nia mbaya.. huyu waziri aache kufanya mambo mitandaoni ili kutaka kusifiwa mitandaon
Huyo hamna kitu amejawa na tamaa na sifa za kijinga, ni mpumbavu na anayemtetea pia inabidi ajitathmini.
 
Acha kujidhalilisha, kwa kusema Medrxiv (Yale Universty) ni kijarida.
 
Huo weusi ndio tuutakao, wewe endelea kujichubua ngozi na MO LOTION uwe kama wazaire! 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Tatizo la njaa ni la muda tu. Jinsi tunavyozidi kukuwa kiuchumi ndivyo tunavyozidi kupunguza njaa na umasikini. Baada ya miaka kumi hutasikia tatizo la njaa Kenya.
Wacha blabla...kwani njaa kwenu imeanza jana?kma mko 50mil na gdp 100 meshindwa kutoa njaa....ndio mtaweza miaka kumi ijayo?
 
Misingi aliyoiacha nyerere ni kile chama pendwa tu vingine ni vituko tu[emoji1787][emoji1787]
Nyerere ndio backbone ya mazezeta wote tz, yani baba wa taifa unaipeleka nchi na story telling[emoji1787][emoji1787]
Wakenya mlisema mimi muongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…