Hapana, nimeisoma hiyo paper, walichokiongelea ni kuwa wamefanya few clinical trials na waka suggest kuwa tech hiyo inaweza kutumika baadae lakini haijawahi kuwa approved kutumika kwa masses. Ndiyo maana chanjo za Pfizer na Moderna mwanzoni ziliruhusiwa kwa dharula, kama mRNA ingekuwa imewahi kutumika (nje ya trials) wasingehitaji exeption ya dharula kutoka FDA.Ulitaka nikutajie vaccine Moja tu iliyotengenzwa kutokana na mRNA, nimekutajia Sasa unataka kubadilisha goli sio?.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha. Karibu sana mzee. Usipotee hivyo. Wakati mwingine unakuja kwenye uzi tunapiga battle.Nipo mzee. Tunasuka vitu vikubwa kwaajili ya nchi hii. Niliona niwe busy kwanza ili nikirudi niwanyoshe vizuri. Upo tayari kunyoshwa!?
Hii kampuni wasipewe tena tenda, wenzao wa ubungo walifanya kazi nzuri sana.Chang’ombe Flyover Progress.
ujenzi umesimama sio? 😡😡
Kampuni za Kichina zilitokea Kunyaland ni za poor quality na zina attitude za kiwiziwizi! Yaani ile tabia ya Kunyaland wanaleta Bongo! Nashangaa hawahawa wamepewa tender ya uwanja wa ndege wa Msalato! Tegemea kitu kuchukua miaka 10!Hii kampuni wasipewe tena tenda, wenzao wa ubungo walifanya kazi nzuri sana.
Hahahhah mbona ni aibu kabisaaa iyooo embu chukua kinondoni ukalaleUnge fyata tu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ..,
Hii [emoji116] vs westlands pekee, kazi kwisha.., [emoji23] [emoji23]
Westlands
ujenzi umesimama sio? 😡😡
First World countries sio utajiri wa pesa pekee wacha ujinga wewe, wacha kutafuta definition za vichochoroni.Kilaza kajianika [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
zaidi ya muuza madafu, mbona hamna hata mtu mmoja pia ni zaidi ya miaka miwili dude linajengwa! Jamaa wananiudhi mpaka basi!Work in Progress.
Hii kitu imekaa kikunya kabisa, tofauti ni kutoweka tofali..apa tumechezew
Viwanja gani? Nyinyi watu mnachekesha.wameona aibu kuomba kuchezea viwanja vya Tanzania!
haijakaa kama ya TazaraHii kitu imekaa kikunya kabisa, tofauti ni kutoweka tofali..apa tumechezew
Mkuu yes Kuna huo mfumo ambapo Ligi zimeachana Title Sponsor na kutengeneza nembo ya League,the challenge kwetu ni uwezo Mdogo wa Vilabu vingi hivyo bado tunahitaji title Sponsor hadi hapo Vilabu na Tff wakiwa na uwezo kujiendesha.Tuna viongozi wasioona mbele, hii ligi inahitaji jina lake la kipekee, na sio kila mdhamini akija basi jina linabadilishwa, watu ambao tayari wameshaijua VPL kesho hawatolisikia hilo jina bali ni NBCPL ni upumbavu wakati kuna majina yetu mazuri ya kiswahili yanayoweza kuipatia umaarufu mkubwa ligi yetu.
Wacha kujamba ovyo, aliyekwambia ni traffic ni nani? 😂 😂 😂Huyo siyo traffic police, wa kwetu wanavaaa uniform nyeupe.....
labda utakuwa unajichekesha,maana hakuna ulichochekeshwa wala chakuchekeshaViwanja gani? Nyinyi watu mnachekesha.
Chai! 🤣 🤣 🤣 🤣Hizi data wee Kama unashinda state house au una maisha Kama ya state house, huwezi kufaham mambo haya. Tunajua sisi wazee wa kujichanganya kitaaaa
[emoji116]hii kaka ni level nyingin..pillars zakutosha...ile ya chang'ombe nguzo ni mbili au tatu ila ilo tuta [emoji16][emoji16] nirefu sna wamekwepa garamhaijakaa kama ya Tazara
Ukimaliza kujifanya chizi..nenda ukadai uhuru vile viwanja 5 alivyo waidi..mnatia aibuViwanja gani? Nyinyi watu mnachekesha.