joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Weka post yangu yoyote niliyopinga chanjo enzi za Magufuli, ukionyesha nitatoka hapa JF[emoji38][emoji38][emoji38]Wewe ndio ulikuwa unasema chanjo ni mbaya kwa sababu Magufuli alikuwa anasema chanjo ni mbaya. Sasa mama anasema chanjo ni nzuri sasa pia wewe umebadilika na kusema chanjo ni nzuri. Kweli wewe ni CCM damu. CCM wakisema uruke kutoka ghorofa la ishirini nadhani hutasita. Chukua msimamo. Aidha chanjo ni nzuri au ni mbaya amua kitu kimoja usitapetape.
Bado wananchi wake wanakufa kwa njaaSerikali ya Kenya inakusanya kodi mara mbili ya Tanzania. Uchumi wa kwenye makaratasi unaonekana wazi sasa.
Nyerere alisema ili nchi yoyote iweze kuendelea inahitaji Mambo 4watu wana-mentality za ajabu sana eti makampuni ya kutengeneza chanjo yanataka kufanya biashara as if tunaweza ku-afford hizo dawa sisi kapuku! Mpaka sasa dozi zote zimetolewa bure kupitia misaada!
For examples; bajeti ya kenya for education last year ilkua around $5b wakati ya Tanzania haikufika ata $2b...............alafu kusema Tanzania ina miradi nyingi kushinda kenya ni porojo tu, you can't prove it. Ukiangalia budget estimates mwaka huu both Tanzania na kenya zinapanga kutumia each around $6b kwa infrastructure na pia kenya ina county governments ambazo zina revenue na miradi yake yenyewe. Kawaidi ya mtanzania, maneno mengi bila proofAlafu hizo pesa huwa mnafanyiaga nini.? Mana hata kutengeza 10km road mpaka mkope.. au KRA imeongeza sifuri.? Coz as we talking right now Tanzania iko na miradi mingi U/C ya serikali mara kumi ya miradi yote inayofanywa na serikali ya Kenya, je ni uongo kwamba uchumi wenu upo kwenye makaratasi tu.?
Jamani sasa kati yetu mimi na wewe nani kilaza.? Vitu vya maendeleo ni vitu vinavyoonekana kwa macho, sio kwenye maandishi wala domo tupu.. kijana usiwe mpumbavu, kumjua maskini na tajiri ni ujuzi ambao hauhitaji hata shule.. Kwanini tuongopeane kwenye makaratasi, naakati tuna macho ya kuona vitu kwa ground.. tuneweka battle mara ngapi humu ndani, kulinganisha gvt schools za KE na Tz, na tumewapiga hands down, sasa hizo namba za kwenye budget huwa zinatumika kufanya nini.? ... Wajinga kama wewe, Magufuli aliwatimua.. maneno mengi na figures ambazo haziakisi uhalisia kwa ground nao ni utahiraNikusaidie kidogo.., tafuta budget ya Kenya uisome uone allocation of funding kwa sectors tofauti, utaona pesa inaenda wapi na huwa hazitoshi bado, tuko na mengi ya kufinance, kama tu budget ya elimu pekee ni zaidi ya development ya Tz.., wacha ku expose your ignorance kaka, wenzako ndiyo walikurupuka hivyo nawe bila ya kuchunguza unakurupuka kama vilaza wenzako.,
Dar ndio kitovu cha michezo na pia kuna mahitaji makubwa.Ikajengwe Dom tutaifuata huko huko, wasiiweke Dar.
Tatizo sio kukusanya ila hizo hela unaenda kuzitumia wapi hapo ndio shida inapoanzia nadhani umenielewa vizuri.Serikali ya Kenya inakusanya kodi mara mbili ya Tanzania. Uchumi wa kwenye makaratasi unaonekana wazi sasa.
Hiyo miradi mingi mnayoifanya nyie wazee wa kuongeza sifuri iko wapi mbona tusiione.? Au ni miradi hewa.?For examples; bajeti ya kenya for education last year ilkua around $5b wakati ya Tanzania haikufika ata $2b...............alafu kusema Tanzania ina miradi nyingi kushinda kenya ni porojo tu, you can't prove it. Ukiangalia budget estimates mwaka huu both Tanzania na kenya zinapanga kutumia each around $6b kwa infrastructure na pia kenya ina county governments ambazo zina revenue na miradi yake yenyewe. Kawaidi ya mtanzania, maneno mengi bila proof
Nyinyi tu ndio mlisema kwamba Uchumi wa Kenya ni wa kwenye makaratasi kwamba hatuwezi kukuasanya kodi kama hii kwa sababu tunapika vitabu. Sasa kama tunapika vitabu basi tunawezaje kukusanya kodi kubwa hivi?Tatizo sio kukusanya ila hizo hela unaenda kuzitumia wapi hapo ndio shida inapoanzia nadhani umenielewa vizuri.
Miradi zetu ni nyingi ila huwa hatupendi kuringa. Huwa tunanyamaza tu. Ukitaka kuziona nenda skyscrapercity Kenya section utaziona.Hiyo miradi mingi mnayoifanya nyie wazee wa kuongeza sifuri iko wapi mbona tusiione.? Au ni miradi hewa.?
Hivi unajua hao ndio watu wanaotumika na jubilee kueneza propaganda [emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo miradi mingi mnayoifanya nyie wazee wa kuongeza sifuri iko wapi mbona tusiione.? Au ni miradi hewa.?
Sasa huu upuzi wa battle ya vipicha ndio unatuimia kama kipimo wewe idiot? niondolee ufukara wako wa kimawazo, tafuta size yako mkajadiliane kule vijiweni, ona ulivyo ignorant, yaani nyie fukara hadi ndani ya fikra zenu, rudi shule wacha shabiki za kijinga.., Tanzania tumeifumania ya kutosha hauniambii lolote wewe, hadithi za vijiweni baki nazo, don't be blinded by your stupid patriotism,.,Jamani sasa kati yetu mimi na wewe nani kilaza.? Vitu vya maendeleo ni vitu vinavyoonekana kwa macho, sio kwenye maandishi wala domo tupu.. kijana usiwe mpumbavu, kumjua maskini na tajiri ni ujuzi ambao hauhitaji hata shule.. Kwanini tuongopeane kwenye makaratasi, naakati tuna macho ya kuona vitu kwa ground.. tuneweka battle mara ngapi humu ndani, kulinganisha gvt schools za KE na Tz, na tumewapiga hands down, sasa hizo namba za kwenye budget huwa zinatumika kufanya nini.? ... Wajinga kama wewe, Magufuli aliwatimua.. maneno mengi na figures ambazo haziakisi uhalisia kwa ground nao ni utahira
😂😂😂 Bro bhana .. nyie muwe na miradi alafu msipost.? 😂😂 Sitaki kudanganywa na mtu ninaemuheshimu bhanaMiradi zetu ni nyingi ila huwa hatupendi kuringa. Huwa tunanyamaza tu. Ukitaka kuziona nenda skyscrapercity Kenya section utaziona.
Kodi unakusanya sh ngapi kwa mwaka na madeni unalipa sh ngapi kwa mwaka na unakopa sh ngapi kwa mwaka kujazia budget weka hizo taarifa kwanza ndio tuanze seminar elekezi.Nyinyi tu ndio mlisema kwamba Uchumi wa Kenya ni wa kwenye makaratasi kwamba hatuwezi kukuasanya kodi kama hii kwa sababu tunapika vitabu. Sasa kama tunapika vitabu basi tunawezaje kukusanya kodi kubwa hivi?
Kenya sio Tanzania eti jubilee itumie mtu kueneza propaganda, with a liberal media na watu who have independent mindsets kwa tweeter propaganda haina maisha Kenya., hatuna uzalendo wa kijinga kama watanzania., eti mtu akisema ukweli ama mabaya ya taifa lake yeye ataambiwa sio mzalendo, upuzi mlio nayo nyinyi ni wa kipekee., 😂 😂Hivi unajua hao ndio watu wanaotumika na jubilee kueneza propaganda [emoji23][emoji23][emoji23]
Zako ni hizo tu, unadhihiridha ni uongo na upuuzi kiasi gani ukonao, eti upuuzi wa battle ya vipicha 😂😂😂, kwahyo unataka tuende na battle ya maandishi mnayoandika wenyewe.? Unajiskia lakini.? Nani Kati ya mimi na wewe ni idiot.? Nikuulize humu tunashindanisha maneno na maandishi au tunashindanisha vitu vinavyoonekana kupitia picha na video.? Usitake nikudharu, rudi kwenye mstari leta hoja..Sasa huu upuzi wa battle ya vipicha ndio unatuimia kama kipimo wewe idiot? niondolee ufukara wako wa kimawazo, tafuta size yako mkajadiliane kule vijiweni, ona ulivyo ignorant, yaani nyie fukara hadi ndani ya fikra zenu, rudi shule wacha shabiki za kijinga.., Tanzania tumeifumania ya kutosha hauniambii lolote wewe, hadithi za vijiweni baki nazo, don't be blinded by your stupid patriotism,.,
Nenda katafute waimba taarab wenzako muje mtumbuize ama leo wamekutuma mwenyewe uje uwawakilishe!Kenya sio Tanzania eti jubilee itumie mtu kueneza propaganda, with a liberal media na watu who have independent mindsets kwa tweeter propaganda haina maisha Kenya., hatuna uzalendo wa kijinga kama watanzania., eti mtu akisema ukweli ama mabaya ya taifa lake yeye ataambiwa sio mzalendo, upuzi mlio nayo nyinyi ni wa kipekee., [emoji23] [emoji23]
Nyie ndio mnatoka porini, mambo mengi tulifanya, na bado tunaendelea, nyie bado mnajenga miaka nenda miaka rudi, miradi haikwishi, expressway itakamilika mbele ya miradi mingi ya Tanzania., sitashangaa serikali ya tanzania uikianza ku sign mikataba ya ppp hivi karibuni, nilisoma kwenye gazeti lenyu sometime this year...,Hiyo miradi mingi mnayoifanya nyie wazee wa kuongeza sifuri iko wapi mbona tusiione.? Au ni miradi hewa.?
Mimi dnakupa ukweli ukatae ukubali, dawa ya mtanzania ni facts., mmelewa propaganda lazima tuwaondolee huo ujinga mlio nao.Nenda katafute waimba taarab wenzako muje mtumbuize ama leo wamekutuma mwenyewe uje uwawakilishe!
Wewe chochote kinachokufikisha kileleni huwa unaita facts!Mimi dnakupa ukweli ukatae ukubali, dawa ya mtanzania ni facts., mmelewa propaganda lazima tuwaondolee huo ujinga mlio nao.