Aaaah Kumbe allegations 🙂nilitaka kushangaa03/09/2021
TANZANIA OPENS PROBE INTO RAPE ALLEGATIONS AGAINST POLICE...
Tanzania opens probe into rape allegations against police. Tanzanian police said Friday they were investigating allegations that some of their own officers raped and sexually harassed women in night clubs.
Kenyans have once again shown their giving spirit after helping a woman photographed pushing a heavy mkokoteni (handcart) in Dagoretti, Nairobi.
Ina features nyingi na packages amabazo ni appealing kwa mtanzania na mteja wa Africa maana ni affordable na Iko imara 🙂that's why tunaipendaAzam tv ina offer nini
99% huwa imefanyika, tena ni polisi wenyu, hao hata si wa kutetea walifanya, kama walifir... maseng... kule rumande walipowakamata wakati ule, itakuwa wanawake? 😂 😂 😂 😂Aaaah Kumbe allegations 🙂nilitaka kushangaa
Weka hizo nyanja hapa tuone sio unakuwa mbishi ovyo.Umnyooshe nani wewe, sina mda huo kwanza
We unaongea vitu usivo vijua 🙂🙂🙂🙂99% huwa imefanyika, tena ni polisi wenyu, hao hata si wa kutetea walifanya, kama walifir... maseng... kule rumande walipowakamata wakati ule, itakuwa wanawake? 😂 😂 😂 😂
Walifanya! 🤣 🤣 🤣We unaongea vitu usivo vijua 🙂🙂🙂🙂
Hehehe!!hujajibu kitu mzee[emoji1787][emoji1787]ukisema ni affordable basi si ni kawaida kw vitu kutoka nchi maskini..Ina features nyingi na packages amabazo ni appealing kwa mtanzania na mteja wa Africa maana ni affordable na Iko imara [emoji846]that's why tunaipenda
Africa bana[emoji1787][emoji1787]
Ukilinganisha packages za wapinzani kama vile zuku TV,na what Azam is offering mfano uwezo wa hd,tamthilia ambazo wabongo wanazipenda,azam sports hd ya home,eastfafrica, international,movies na series latest pia ni advantage yani Azam offers more for a few priceHehehe!!hujajibu kitu mzee[emoji1787][emoji1787]ukisema ni affordable basi si ni kawaida kw vitu kutoka nchi maskini..
Nyaraka za Pandora, hata hivyo, hazionyeshi ushahidi wowote kwamba familia ya Kenyatta iliiba au kuficha mali za serikali katika kampuni zao zilizofunguliwa katika maeneo yenye unafuu wa ulipaji ushuru.As Kenyan president mounted anti-corruption comeback, his family’s secret fortune expanded offshore - ICIJ
The Kenyatta family has ruled one of Africa’s largest economies for decades. But to the Swiss advisers who helped them funnel wealth into tax havens, they were 'Client 13173'.www.icij.org
Ushahidi kwamba waliiba au kuficha hela ya umma uko wapi??? 😂Mmhh aisee hatarii na wakenya wakoo kimyaa tuu,
upo nnje ya mda mzeeHahaha wacheni kutupaka mafuta kwa mgongo wa chupa. Kama contractors wa kujenga pipeline wameshapatikana basi wataje. Ni kampuni zipi zimepata kandarasi ya kujenga bomba la mafuta? Ni tag kampuni zikishatangazwa.
ni noma sana,,hatujafungwa hata mechi moja
Hapo ndipo mama anapo anguka anashindwa kuweka mkazo kwenye vitu vya msingi au propaganda za msingi za kuiletea nchi maendereo ya haraka ana angaika na kumfurahisha mzungu ,mambo ya chanjo tulitakiwa tuvute subira faida ingekuwa kubwa
[emoji107][emoji107][emoji107][emoji107][emoji107][emoji107]
kweli maji ni uhai kiasi cha kwamba hata uhai wenyewe upo hatarini,,naona mama Kenyatta anapambana na hali yake
Hiyo miplate no za gari za kenya inachafua gari kwa kweli [emoji1787][emoji1787] hua nikiona zilivyo andikwa huwa nachekagaWashaanza kuwashana sasa kabla ya uchaguzi