Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unapigia mbuzi guitar bure πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ idiots are wired to listen to what pleases their deceived minds., ukweli ni dhulma kwa mtanzania., wahurumie wakue na wikendi njema angalau, usiwatese na ukweli.
wanukuletea data za 2018 alafu ukikuja na data za 2021 they argue that yao ya 2016 ndio reliable 🀣🀣🀣very useless minions
 
hakuna cha kawaida in reality mna maisha magumu kupitiliza,kwa hiyo location almost 60% ya watu ni vibaka kuanzia madereva wa daladala,boda boda n.k..

hao vibaka wangekuwa hapa bongo kwa jinsi wanavyotaka kuiba kizembe wangeshakuwa maiti,hao raia wa pembeni wasingewaachia.
 
Ila mihogo ya coco halafu ushushie na juice ya miwa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
suala la internet users tuliishia wapi?

data nilizonazo inaonesha internet users ziko hiv
Tanzania = 29M
Kenya = 21.8M
Kenya ni Internet user uchwara wana beep tu ,yani wanawasha net dakika kumi uwaoni hata humu jf tunashuhudia ,mkenya hawezi kukaa online kwa masaa 8 kwa siku
 
aisee wawe wanafanya hivi mara kwa mara,tukawake kidogo
 

Usichoke kutupa uhondo aisee
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒWao wanafikiri UCHUMI wa Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ umeshikiliwa na wageni Kama huko kwao.Mtanzania anaweza kuwa billionaire na usimjue we don't show off!
Shilling billionaire sio, njoo uwaone huku, na hawaringi! 🀣 🀣 🀣 🀣 MO pekee ndio anajulikana ni dollar billionaire hao wengine wa shillings mbone wengi tu Afrika hii
 
wakuu vifurushi vimerudi kwenye hali yake
zile side effect za tozo za miamala kuwa juu kuliko wenye mitandao zinaanza kuchipuka mdogo mdogo,

mitandao karibia yote imeshusha
 
Hili eneo linavutia sana kwakweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…