Usini quote kwenye upuuzi wako kama huna mada ya kuzungumza pita wimaSukuma gang wanashinikiza kampuni yao ya mfukoni ipewe Kazi kwa bei ya kutupa bila ushindani Ili waendelee kutupiga.
Tumeshawastukia hakuna ushindi wa mezani kwa Yap Merkez
Evidence?Magufuli did nothing. Sgr, struggling gorge etc hakuna mradi umeisha ni mambo ya vijiweni tuu
Nishakwambia usiniquote ww tafuta mabasha wakukune kipele hicho mm huo mchezo nimekatazwa ni mwikoMpuuzi ni mke wako
Zipo bara bara za kuingia unataka kuziona au?Ona huyu fala mdanganyika. Ukitaka kuacess Nyumba yako kando ya hio barabara itakuaje? Remember ni katikati ya mji.
Shikilieni hapo hapo kwenye mbio, mambo ya soka achaneni nayo.
Ameumizwa na kibaha highway iliyojengwa na kampuni ya kitanzania [emoji116][emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mtu yupo kenya kijijini anajikuta anaijua Dar yote na roads zake zote[emoji23][emoji23].. it’s very funny!
Piga block mkuu, huyo ni king'ang'anizi kama nzi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nishakwambia usiniquote ww tafuta mabasha wakukune kipele hicho mm huo mchezo nimekatazwa ni mwiko
Uhehhehehehehehe nchi inazidi kunya moshi😁
Miji yenu huwa imechakaa sana, barabara zina vumbi, mji umeparara.what do you say about this my small hometown of kericho. just arrived to my diggs meeen....! View attachment 1953689View attachment 1953690
wewe unani-quote halafu humu ndani unadai umeni-ignore? Mbona tena?Wakuu huyu opportunity cost mm nimeshamu ignore sasa kilichobaki naomba member wote wenye mapenzi na huu uzi tumpige block ili tusione anacho comment, wabaki kujibishana yeye na rafiki yake mpenzi Geza.
Nimeona niliseme hili kwa faida ya uzi wetu adhimu, cc wengine humu JF hatuna forums nyingi, kwa mfano mm humu jamii forums nina forums tano tu ambazo ndio mpango mzima ila hii ipo juu ya hizo zilizobaki sasa siwezi kukubali huu uzi ukiharibika kwa mjinga mmoja tu.
Hakuna mtu anayelazimishwa kumkubali kiongozi fulani na amchukie kiongozi fulani lkn je wewe usiyemkubali kiongozi fulani ambaye anakubalika na mwenzio je unatumia njia sahihi kuwasilisha hoja zako?
Huu co uzi wa siasa japo siasa mbili tatu huwa zinaingia mana huwezi kuepuka siasa cz ni maisha na ndiyo kwa asilimia kubwa inatufanya tuwe hapa jukwaani, lkn sasa unakuta mtu anaweka siasa za kishamba na chuki zake binafsi plus matusi, huu ni utoto na kutoelimika pamoja na kutopevuka kiakili.
Sasa ili nisione comments za huyu mpumbavu nimempiga block natumai na yeyote yule anayekwazika na ujinga wake atafanya hivyo hivyo.
Picha ya kwanza kabla ya block, picha ya pili ni baada ya block, na akija na Id nyingine nikimgundua napiga block, tufanye hivyo wakuu lasivyo huyu mbwa anakwenda kuuharibu huu uzi, nyuzi zake zote anazotembelea ndio yuko hivi hivi usidhani humu tu[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1953703View attachment 1953704
Safi sana.Dodoma City Ring Highway U/C
Sa hizi naandika hii comment siwezi book sgr train kutoka dar kwenda morogoro lakini kenya naweza book sgr kutoka Nairobi hadi Mombasa tangu 2017 na magufuli alikufa 6 months ago.Evidence?
Leta tuzioneZipo bara bara za kuingia unataka kuziona au?
👇hapa ni kericho pia. haya baci hebu sema tena barabara zimechakaaMiji yenu huwa imechakaa sana, barabara zina vumbi, mji umeparara.
👇hapa ni kericho pia. haya baci hebu sema tena barabara zimechakaa View attachment 1953717View attachment 1953718View attachment 1953719View attachment 1953720
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Uhehhehehehehehe nchi inazidi kunya moshi[emoji16]
Kumbe wewe ndiye opportunity cost, aisee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wewe unani-quote halafu humu ndani unadai umeni-ignore? Mbona tena?
umeandika Geza yaani nibaki na kipenzi changu Opportunity Cost humu ndani! Mbona huna uvumilivu wewe?Kumbe wewe ndiye opportunity cost, aisee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Afadhali umekuja humu ndani nanyanyapaliwa kisa nimesema JPM alikuwa mzuri kwenye ujenzi ila si kwa biashara(trade/commerce/business) na mama yuko poa hiyo sector! Nini maoni yako juu ya hili?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]