Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

yoote hii imejikinga ujenzi na hamna mtu aliyebisha hilo! Point yangu biashara wasn't his trade! And i will countinue to say that seeing the sorry state of our tourism a 17% contributor of our GDP and not to forget the general trade!
 
Nilisema hili April 23.


Wanamuita Magufuli majina ili kufufisha legacy yake. Nchi hii tangu uhuru imeoata viongizi wawili tu: Nyerere, Magufuli.
 
Bado nipo Bega kwa Bega na wachafuzi wa thread, nipo nafatilia kwa ukaribu hali ya thread na kufanya counterattack kuona namna tunaweza rudisha hali ya utulivu humu!

Jana nimeshambulia zile tutusa japo operation ilikwaza wengi lakini mnivumilie ndugu zangu dawa ya moto ni moto mamaee

Gezaulole na shosti ako nawaona!
 
mapato ya utalii from $2.5 bln to 500 mln itakuwa percent ngapi?
Ni nchi gani ambayo sector yake ya utalii iko vilevile kimapato na haikuathiriwa na Corona?

Kenya, South Africa wamefanya lockdowns na wamechanja zaidi yetu, sector zao za utalii zikoje?
 
Wapuuzi awawezi kukuelewa hata kwa ili la korona wakati inaingia angekuwa raisi ni huyu punguwani tuliye naye sasa tunge pigwa lock down na watz wengi wangeuliwa na maaskari tushukuru mungu
 
Naombeni nikiwa kama mwenyekiti naomba hii mada tuachane nayo turudi kwenye battle yetu Geza Ulole Simon lwiva Chamoto NDINDA The best 007 Uhuru n Umoja Fundi kitasa etc turudi kwenye umoja wetu tunasafari ndefu sana ya kimaendeleo lazma tujikite kutoa ushauri na kupendekeza yaliomema kwa nchi yetu 🤝🤝🙏🙏

Ni heshima kwenu nyote na wote munajua ni namna gani tulivoitengeneza hii thread na namna gani tumetoka nayo mbali sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…