Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

chief huwa haunaga mawazo mengine ya kudiscuss mambo zsidi ya kusnif kila siku we ni mwenda wake mwenda wake,

hebu grow mind set yako unaijaj maiti hata haikusikii unaishia kupoteza mda na nguvu nyingi for nothing
 
Huu mji una wakazi zaidi ya millioni 6 lakini ni kama miji ya Botswana, Namibia, Lesotho, Zimbabwe ambapo population ni ndogo sana, Dar ipo empty kabisa and cozy which is so good!
what!!?.. Naton Jr, hapo sijakuelewa poa, hebu re-frame your question in another style, nipate kukuelewa vizuri.....
 
So imf wamewaonea au 😃😃😃😃😃
 
Mombasa ipi unaongelea 😁😁😁😁 ile inayonuka ushuzi wa Bata nilikwambia siku utapata street za kisasa kama za mwanza mm nafunga acc jamii forum
 
Mradi una over 14yrs na haujafkisha hata 1% ya render yenyewe au nadanganya 😆😆😆
 
Ushaanza kujamba moto na hauli Kuni 😁😁😁
 
Ukipata data inasema uchumi wa kenya ni mara ya mbili ya Tanzania kwanza mm nafunga acc Cha pili ukijua debt to GDP ratio inamaanisha nn basi bangi umepinguza
Ichoboy ntoo nikuoneshe vijimambo. hii ni IMF and WorldBank 2021, ah!ah!👐 sio sisi. ni wao ndo wako na hadhi ya kufanya hii mambo najua tu, kila mara ninapo wa sukumia hii list, inawachoma sana.. mnakereka sana hadi mnaskia kujitia kitanzi kama sio kuingia kwenye kisima ama furnace. huku mkidai eti munaonewa. wao ni watalamu na wanajua wanachofanya, waulize wao sio sisi. but ntawaomba tu kitu kimoja. mkubali tu matokeo ila msikonde, ivo tu ndo kunaendaga😆
 
Wakuu pitieni na huku mkipata muda.

Kwenye hii Battle tunaji-mwambafy kila siku (of course on ground tuna-deserve hapa EA). Lakini changamoto hazikosekani katika kila taifa, ni lazima tukumbanenazo ili kutoboa.

Sasa ushauri, mapendekezo , kukosoa kwa nia njema na hata kulaani vitendo vibaya katika taifa mchango wako unahitajika huku 👇🏿👇🏿👇🏿
 
mnaringa saana na hio mkapa stadium yenu. Ile day mta host a high profile, worldclass sprinting event ka hii where speeds of upto 9.75(Bromell) and 9.76(Omanyala, a kenyan) are achieved .. aki walai, hio day na close my a/c JF where you also have the likes of Justin Gatlin, Mike Rodgers, Trayvon Bromell, and so on..
'zidini tu kushobokea Yanga na Simba!'😅😆
 
chief huwa haunaga mawazo mengine ya kudiscuss mambo zsidi ya kusnif kila siku we ni mwenda wake mwenda wake,

hebu grow mind set yako unaijaj maiti hata haikusikii unaishia kupoteza mda na nguvu nyingi for nothing
Hapo maiti yenu imehusikaje? Acha ujinga mimi nakosoa maoni ya huyo anaejiuta mhasibu kwa kulinganisha awamu ya 6 na awamu ya 5 kwenye ku deal na issue ya budget deficit..

Na wewe statement nzima ukaona main point ni mwendazake tuu? Wajane bwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…