Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kariakoo inakuumiza sana kichwa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
pole sana ndugu hio ndio kariakoo the biggest and busiest market in east and central africa
Kwa hivyo kariakoo ni soko la nyanya na viazi
 
Mtwara port yapata shavu kuhandle cargo to comoroπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ kweli tz ya 2017
 
Kila kitu ni cheap in tanzaniaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Kumbuka ni sawa na 3800ksh inclusive VAT of 18% kutoka dar to mwanza na kutoka dar to mbeya na kiliamjaro
 
Icho huu wakati mtahema sana kujaribu kukibizana na Nairobi
Kwann wakenya hua mkiskia kariakoo munakosa raha kabisaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Pumzika kaka umekula ugali lakini???
maana sijakusudia utoke povu kiasi hicho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…