Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hahahaha naona leo kuna jitu linafki humu nimelibutua za uso na maIDs yake fake kama utitiri πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Nakucheck tu unavyuojifungulia mawindows yako na maIDs yako ulivyoyapanga kama ngogwe kwa mafungu, kila browser ina lifekeroπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Dah watu wana moyo aisee, yn mtu anamiliki IDs tano mtu mmoja cjui huo mda anaupata wapi aiseee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Dah watu wana moyo aisee, yn mtu anamiliki IDs tano mtu mmoja cjui huo mda anaupata wapi aiseee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Halafu linavyojua kujibadilisha sasa, lina comment hivi likivaa lifekero lingine linatapika sample nyingine tofauti kabisa!

Limwache mzee wa watu apumzike kama anamdai aende mahakamani kufungua case za mirathi! πŸ˜…πŸ˜…
 
Kuna kitu wakulungwa wa Kaskazini wanafanya, wakati wenzao ( watu ambao walitakiwa wawe level moja muda huu walivunja na kurudisha demokrasia barabarani)

Demokrasia barabarani namaanisha mwenye kuendesha gari la milioni mia tano na anayeendesha baiskelinya elfu 30 na mtembea kwa miguu wote wana haki ya barabara na maeneo mazuri na salama ya kutembea au kuendesha baiskeli.

Seoul Cheonggyecheon river

 
Halafu we usiwe Kama panya aliyekula mtumbwi wake wa muhogo
 
Kip Keino Classic Gold Series was lit asf! πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ”₯ Omanyala was on 'turbocharge'... πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚






Mobius πŸ‘‡πŸ”₯😁




Next - KCR(rally), National Swimming Challenge nk nk nk 😁 This country is on sports steroids!!! 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…