Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 8,996
- 6,921
Unajilisha upepo bure,vumilia yupo hadi 2030..Huyu mama ukimcheki vizuri kisaikolojia hasa alipo jaribu kufuata nyayo za magufuli kutatua na kusikiliza matatizo ya wananchi live utagundua kuna damu mikononi mwake inamsuta moyoni anapoteza komfidensi kabisa mbele ya matatizo ya wananchi ,hadi sasa hivi kaacha kabisa kusikiliza matatizo anayakimbiatarehe17/
Matatizo ya wananchi yule dhalimu aliyamaliza achilia mbali kuyapunguza?
Basi mnavyomtajaga yule Hayawani utadhani ndio aliseti standards za uongozi,huwa nawadharau Sana.
tarehe17/




