Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkuu hii timu ya mama ni kumvava hamna kitu pale. Funds wanazotumia hapa ni sawa na kujenga barabara ya changarawe then baada ya miaka kadhaa unatangaza tenda mpya ya kujenga lami. Wangeitumia hiyo research kuandikisha nida kwa wasionavyo ningewaona angalau wanaelekea
 
Ndiyo tatizo wanachuja mbu na kumeza ngamia mama ana acha mambo ya msingi anajikita kwenye mambo yasiyo ya msingi
 
census ni muhimu na inasaidia kwenye economic planning na policy creation. Hata wewe ukinunua chakula nyumbani lazina ujue nyumbani kwako kuna watu wangapi ndio ununue chakula kiasi gani.
Kwakua walishafanya sensa miaka iliyopita, wasingekua na haja ya kufanya sensa tena kwakurecord watoto wanaozaliwa, watu wanaokufa, wanaohama na wanaohamia. So ukiloose mtu unatoa kutoka kwenye idadi, ukigain unaadd kwenye idadi .
 
Ndiyo tatizo wanachuja mbu na kumeza ngamia mama ana acha mambo ya msingi anajikita kwenye mambo yasiyo ya msingi
Si ndio hapo, hivi kweli kazi ndio zimeisha kiasi hicho mpaka raisi awe na mda wa kurecord series?
 
Tanzania hakuna option ingine[emoji1787][emoji1787]
Km walala hoi ndio wengi sasa mtafanyaje, unafikiria mkiletewa shuttles za mercedes benz dar moro bei mtawezana
😀Kumbe hadi wewe unasafiria punda enzi hizi kweli! angalia papuchi isijekomaa tukashindwa kuzama
 
Sasa mmebaki na empty words after realizing you are behind in terms of domestic travelling 😂😂
Yaani ikija domestic air travel, Tanzania bure kabisa, now pia road travel wako below bado 😂 😂 😂 .,in Tanzania kama hujui all roads lead to Dar., the only city ya ku hustle, hawana nyingine with meaningful economy, so mkusanyiko wa mabasi in Dar inawapea a false impression eti wanasafiri sana, idiots 😂 😂 😂
 
wameplan mgomo leo kisa mafuta kupanda bei [emoji38]
Hiyo picha ni nini?naona matofari kila upended au ndiyo zile intachenjii zao wanazo tusumbua nazo hapa kila kukicha wakati mambo kwa ground ni tofaut[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Yani mtu anakwambia eti wanasafiri sana kisha akileta kitu ni dar tu
 
Ni wivu tu inakusumbua., nothing more..,
 
wameplan mgomo leo kisa mafuta kupanda bei [emoji38]
We wafanya mchezo, kuna jamaa anapiga sio kw ubaya bana..
Eti waliyaleta mpka kes98 alafu hta miezi miwili haijapita kitu kinacheza kes130
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…