Nimeishi Nairobi zaidi ya 10 years. Ni kweli Nairobi wametuzidi kimiundo mbinu ya barabara. Network ya barabara ya mjini iko very beautiful and smart.
Dsm, well tunakomaa. Hatuko vibaya. Kuna sekta tupo vizuri sana. Reli ya SGR ikimalizika nadhani tutaweza kuvimba kidogo. Network ya UDART nayo ni interesting hasa hizi njia mpya zinazofunguliwa.
Kwa majengo we have no doubt about dsm. well, I can say tuko 50 50 na Nrb. Thanks to NSSF wanaojenga migorofa mirefu na yenye ubora flani.
Social amenities kama vile tuko 50 50. Japo waTz hatujui kujivunia vyetu. MNH na facilities zinazoanzishwa pale ni kipengele. Nairobi pia they have incredible hospitals.
Malls za DSM zipo classic japo business ya supermarkets dsm haikui kulingana na culture yetu waTz. Ukweli ni kwamba Nairobi wametuzidi kwa huduma ya supermarkets. We can brag with malls around ila bado hatuwezi compare na Nairobi.
Hatuna game reserves ndani ya jiji la Dsm kama Nairobi. Advantage yetu ni coastline ambayo inatufanya tuvimbe kidogo na coral and marine life along. Sure, Kuna kigamboni connectivity ya ferry. Nairobi hawana.
Nairobi kuna expensive places kama Lavington, Kileleshwa, Langata n.k hata DSM zipo. Masaki Oyestrbay na Avic Town ni places za kujivunia.
Just in t kama nimesahau au kuzidisha kitu. I stand to be corrected.