No wonder covid 19 cases ziko juu sana KEHuwezi amini wanalundikwa 25 humu kwenye kipanya safari ya saa 8
View attachment 1936159
Wakati Tanzania 1 by 1 luxury coach Dar Moro kwa 10k tu unaenda umerelax full kipupwe, free soda ndani humo mna toilet, movies, games kama zote, Tanzania tupo mbali
This is disturbing kuskia ..within a month or two averagely atleast 1 builiding or 1 plane lazima..what id the problem with Kenya...sio kiunafiki Your goverment should look into this..its a big concern ..maisha ya watu hayo ..plus unaweza ukaja kenya ukawa hauna imani na sehemu unayokaa hasa kama ni ghorofa..
You've thought like me, na hili toka jana nililifikiria sababu wanavyopangwa kama viazi kwa safari ndefu hivyo ni hatari hata kiafyaNo wonder covid 19 cases ziko juu sana KE
Jana nime download video za GB14 za nairobi du niliyo yaona [emoji2958][emoji2958][emoji2958][emoji2958]maisha kenya ni ngumu sana pasua kichwa yani bora mfungwa jela kuliko maisha ya slum [emoji2957][emoji2957] kweli nimeamini mkenya siyo binadamu wa kawaidaAfisa wa uhamiaji hujambo[emoji1787][emoji1787]
Dozi mpka mnamfutia uraia
π π π π Wao wameshazoea ndio maisha yao, wakitoka kwenye vipanya wanaingia kwenye mafuso mateso bila chuki!Vipanya vinachoshaa sana mizigo inafungwa na kamba juu ya gari, omba mvua isinyeshee tuu
Hahahaha, wacha kutoa visingizio, tatizo la Tanzania ni upinzani dhahifu usiokuwa na malengo, kusubiri wagombea waliotemwa na CCM ndio kwao wanaonekana kuwa ndio Bora kuliko viongozi waliopo upinzani, "stupidity of it's own kind"Muundo wa Zambia Electoral Commission ni tofauti na wa Tanzania. Yes the president appoints electoral commission president but the president and the commissioners apointments have to be ratified by Parliament and reports to Parliament not anybody else.
Angalia link yao hapo chini
Zambia - Electoral Commission of Zambia - ECF-SADC
Article 76 (1) of the Constitution establishes an Electoral Commission for Zambia. It consists of five Commissioners appointed by the State President.www.ecfsadc.org
Kalemani wa nishati mbona alikuwa chapakazi mzuriMBARAWA [emoji736] mfuatiliaji na anatoa updates sana
Wengine sina maneno
Yule wa afya kabaki?[emoji47]
Nape alifaa aletwe kwenye michezo
Look like cartel ya mkwele inakuja .. ya tocha inaondolewa [emoji102]
Tuwapeni pole kwa uzembe mnaofanya? Tutawapa pole ngp mana kila siku maghorofa ya udongo yqnaanguka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wengi mna roho ya kichawi na kishetani hatutarajii pole zenu za kinafiki., regardless we rule u idiots.
Hatuna upinzani Tanzania, ona jinsi Halima Mdee na wenzake alivyosaliti CDM baada ya kugundua wamekosa Ubunge, hovyo kabisa Hawa wapinzani, njaa tupu.Yah ndio maana huwa nasema upinzani wa Tz ni wachumia tumbo.
Failed state hao, wasikusumbueThis is disturbing kuskia ..within a month or two averagely atleast 1 builiding or 1 plane lazima..what id the problem with Kenya...sio kiunafiki Your goverment should look into this..its a big concern ..maisha ya watu hayo ..plus unaweza ukaja kenya ukawa hauna imani na sehemu unayokaa hasa kama ni ghorofa..
Don YF Teargas
Hizo picha ulizo weka za mwanza ni wapi hapo? Maana mwanza is my second home hizo ni picha za zamani! Hii hapa igoma na nyakato mwanza nimepiga kwa mkono wangu hizi nyumba za kawaida mwanza!na za watu wa kipato cha kawaida!Kama kwa akili ya mitanzania zuzu kama wewe utasema hizi za dar π π sio slum., sasa unataka nini tena?.., Mwanza pia utasema sio slums, akili za wengi wenu zimeganda haziambiliki chochote.,tunatembea nanyi mlivyo.., so Tanzania hakuna slumsπππ.., tulia kaka hiziπ sio slums..,ππ ni standard ya taifa kwa sasa.., mido income
View attachment 1936089
View attachment 1936082
View attachment 1936084
View attachment 1936085
Mwanza kionjo tu.., pia mie nimeona hakuna slum ni mashambani tu..,
Rock City
View attachment 1936094
View attachment 1936091
View attachment 1936092
Vipanya vinachoshaa sana mizigo inafungwa na kamba juu ya gari, omba mvua isinyeshee tuu
π π π π Wao wameshazoea ndio maisha yao, wakitoka kwenye vipanya wanaingia kwenye mafuso mateso bila chuki!
Hawa jamaa tamaa na ujuaji ndo inawaponza Sana siku earthquake ya juu ikipita Nairobi itakua majanga.This is disturbing kuskia ..within a month or two averagely atleast 1 builiding or 1 plane lazima..what id the problem with Kenya...sio kiunafiki Your goverment should look into this..its a big concern ..maisha ya watu hayo ..plus unaweza ukaja kenya ukawa hauna imani na sehemu unayokaa hasa kama ni ghorofa..
Don YF Teargas
Unajua maana ya saccos ni chama yaani owner wa hiko kipanya ni wengi wanaweza kuwa 20 na zaidi!Vipanya vyote hivyo vinamilikiwa na ushirika na sio vya mtu binafsi, ushahidi huu hapa
Huyu sijui ameokota picha wapi eti ni Mwanza πππ.. Mwanza hakuna mitaa ya kufanana hivyo mbweha wewe, unahangaika google kutafuta slums Mwanza na umekosa .. huijui tz wewe ..Kama kwa akili ya mitanzania zuzu kama wewe utasema hizi za dar π π sio slum., sasa unataka nini tena?.., Mwanza pia utasema sio slums, akili za wengi wenu zimeganda haziambiliki chochote.,tunatembea nanyi mlivyo.., so Tanzania hakuna slumsπππ.., tulia kaka hiziπ sio slums..,ππ ni standard ya taifa kwa sasa.., mido income
View attachment 1936089
View attachment 1936082
View attachment 1936084
View attachment 1936085
Mwanza kionjo tu.., pia mie nimeona hakuna slum ni mashambani tu..,
Rock City
View attachment 1936094
View attachment 1936091
View attachment 1936092
Toyota Probox je? [emoji1787]